Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Hivyo ndivyo Ratiba ya Chadema inavyoonyesha.
Taarifa kamili hii hapa
Taarifa kamili hii hapa
CCM IMEISHIWA PUMZI- NGOMBARE MWIRUHiki chama kweli ni Mpango wa Mungu.
Yaani bandika bandua alafu shughuli inafanywa na manguli ya siasa kweli.
Mungu azidi kuwabariki hawa watu.
Gari Ni Engine Siyo Bodi
Mpaka Sasa Anaumwa Hoi Sana
Ana ED(Excuse Duty)
Hivi miaka 88 unataka afanyeje tena?Ana ED(Excuse Duty)
Sukari Na Presha Vimepanda Juu Sana
Pedeshee Makalla ametia aibu sana!Propaganda za Ebola na Monkey Pox, ndio mjue CCM wameishiwa kweli kweli ni vyombo cya Dola ndio vinaowaweka Madarakani.
Mlevi mbwa yule hapo alipo anajuta kupanda jukwaani akiwa bwaxiPedeshee Makalla ametia aibu sana!
Sasa "madini" hayo hayo yanatakiwa kuokotwa na viongozi wa chama wa maeneo hayo na kuyasambaza kwa uangalifu mkubwa kwa wananchi huko mitaani kwao.Heche mzee wa points. Jana sikujutia kufika ruanda Nzovwe full Madini
Mkuu karibu sana Kyela leo tunakinukishaSasa "madini" hayo hayo yanatakiwa kuokotwa na viongozi wa chama wa maeneo hayo na kuyasambaza kwa uangalifu mkubwa kwa wananchi huko mitaani kwao.
Kazi hiyo ikifanyika kwa ufanisi CCM hawana njia tena; si kuiba kura wala kutumia polisi kunakoweza kuwaokoa.
Sasa kama bodi limekufa watamvalisha la nani?ndio maana anasinzia tu
😆😆😆😆Sasa kama bodi limekufa watamvalisha la nani?ndio maana anasinzia tu
lakini cha ajabu hawatashika mdola na hata wabunge hawata kuwa nao na ndiyo itakuwa mwisho wa chadema tanzaniaHiki chama kweli ni Mpango wa Mungu.
Yaani bandika bandua alafu shughuli inafanywa na manguli ya siasa kweli.
Mungu azidi kuwabariki hawa watu.
Samahani sana, huyo kiongozi mwenye mkono mfukoni hafai kabisa. Kama viongozi ndio hawa itakuwa vigumu sana chama kwenda mbele. Haya ndiyo mabua yatakayo saidia kuiangamiza CHADEMA mpya!Mkuu karibu sana Kyela leo tunakinukisha
View attachment 3281683View attachment 3281684View attachment 3281685
😆😆😆 Hata nikiwa ndio Mimi?Samahani sana, huyo kiongozi mwenye mkono mfukoni hafai kabisa. Kama viongozi ndio hawa itakuwa vigumu sana chama kwenda mbele. Haya ndiyo mabua yatakayo saidia kuiangamiza CHADEMA mpya!
Linaweza kuwa jambo dogo, lakini ni ishara mbaya kabisa.
Hata kuchangia mada naona akili imenivurugika!
😆😆 chukua maua yako Mkuu💐💐Mwaka huu Tume ya Uchaguzi, CCM na machawa wao watachaguana wenyewe !!