Nitasikitika sana ikiwa ni wewe.😆😆😆 Hata nikiwa ndio Mimi?
Hata hivyo, kwa kiasi cha kukujua nilicho nacho humu JF, kamwe siamini kuwa unaweza kuwa ni wewe.

Anaitwa Frank Mwakajoka, ni mfia chama na Makamu Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Ni kiongozi mwenye heshima sana, sema ni bahati mbaya umemfikiria vibayaNitasikitika sana ikiwa ni wewe.