PreGE2025 John Heche akabidhiwa kusambaza No Reform No Election Kyela, Rungwe na Busokelo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mwaka huu Tume ya Uchaguzi, CCM na machawa wao watachaguana wenyewe !!
 
Heche mzee wa points. Jana sikujutia kufika ruanda Nzovwe full Madini
Sasa "madini" hayo hayo yanatakiwa kuokotwa na viongozi wa chama wa maeneo hayo na kuyasambaza kwa uangalifu mkubwa kwa wananchi huko mitaani kwao.
Kazi hiyo ikifanyika kwa ufanisi CCM hawana njia tena; si kuiba kura wala kutumia polisi kunakoweza kuwaokoa.
 
Mkuu karibu sana Kyela leo tunakinukisha

 
Hiki chama kweli ni Mpango wa Mungu.

Yaani bandika bandua alafu shughuli inafanywa na manguli ya siasa kweli.

Mungu azidi kuwabariki hawa watu.
lakini cha ajabu hawatashika mdola na hata wabunge hawata kuwa nao na ndiyo itakuwa mwisho wa chadema tanzania
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Hata nikiwa ndio Mimi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…