Amejiandalia wapinzani wake, ambao ni vibaraka wake.
Amewapa ufadhili mpaka na magari ya kuzunguka.
Amewapa na script nini cha kusema kuhusu yeye na serikali yake!!!
What a shame kwenye uongozi wa Nchi yetu.
Hawa hawawezi kukupa uhalali. No legitimacy kwenu.
Watanzania hawatakubali kuongozwa kimabavu. #NoReformsNoElection.
John Heche.
-----------------------------
Kupitia ukurasa wake wa X-Twitter Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche ameandika kuwa;