GE2025 John Heche: Amejiandalia wapinzani wake, amewapa magari na nini cha kumsema

GE2025 John Heche: Amejiandalia wapinzani wake, amewapa magari na nini cha kumsema

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ina maana wewe huna uwezo wa kutambua kuwa huu siyo uchaguzi!!
Ili uwe uchaguzi ilitakiwa iweje? Kuna sehemu ya katiba au sheria imevunjwa? Mimi nautambua kama uchaguzi kwakuwa upo kwa mujibu wa katiba, nawaona wagombea (wa CCM na hao wanao itwa wa kupandikizwa), naoan sera, naona wananchi wanashirikia ktk kampeni, naona tume ya uchaguzi ikiratibu mchakato huu wa uchaguzi. Wewe kwanini unaona huo si uchaguzi?
 
Back
Top Bottom