Hii itakua mara ya pili kwa wagombea wa URAIS kupewa magari ya kuzunguka nayo wakati wa kampeni..Mara ya ilikua 1995 na mara ya pili ndo mwaka huu 2025.Amejiandalia wapinzani wake, ambao ni vibaraka wake.
Amewapa ufadhili mpaka na magari ya kuzunguka.
Amewapa na script nini cha kusema kuhusu yeye na serikali yake!!!
What a shame kwenye uongozi wa Nchi yetu.
Hawa hawawezi kukupa uhalali. No legitimacy kwenu.
Watanzania hawatakubali kuongozwa kimabavu. #NoReformsNoElection.
John Heche.
K Vant haijawahi kumuacha mtu salama.Amejiandalia wapinzani wake, ambao ni vibaraka wake.
Amewapa ufadhili mpaka na magari ya kuzunguka.
Amewapa na script nini cha kusema kuhusu yeye na serikali yake!!!
What a shame kwenye uongozi wa Nchi yetu.
Hawa hawawezi kukupa uhalali. No legitimacy kwenu.
Watanzania hawatakubali kuongozwa kimabavu. #NoReformsNoElection.
John Heche.
Okay....Hii itakua mara ya pili kwa wagombea wa URAIS kupewa magari ya kuzunguka nayo wakati wa kampeni..Mara ya ilikua 1995 na mara ya pili ndo mwaka huu 2025.
1995 hawakushiriki ?!!!!Sijajua kama CHADEMA wangeshiriki haya magari pia yangekuwepo
1995 uliyosema nini kilitokea ?!!! In short hizi tamthiliya a big looser ni mlipa kodi anayefadhili haya maigizo yaliyoanza na yanayoendelea tangia kitambo...ila hata kama yangekuwepo usalama wake kwa Wagombea wa CHADEMA ungekua mdomo na kama wangeyatumia .Ikiwa wangeyatumia Samia angekua anawananga wanatumia magari ya Serikali au wangepuliziwa dawa waugue vifua wafe CCM waseme waliyatembeza kwenye mavumbi hovyo.
Wao ambao hawaja andaliwa wamesusa uchaguzi kwasababu walizo toa (kampeni ya kuzuia uchaguzi), hata wasinge andaliwa uchaguzi ungefanyika kwakuwa CCM na serikali wameamua! Ninachosema wangejaribu kutoa feedback kwasasa uchaguzi upo au haupo kama walivyo nadi awali? Na tija ya kususa ni ipi kwa taifa na chama hicho chenye wapinzani wa kweli.Amejiandalia wapinzani wake, ambao ni vibaraka wake.
Amewapa ufadhili mpaka na magari ya kuzunguka.
Amewapa na script nini cha kusema kuhusu yeye na serikali yake!!!
What a shame kwenye uongozi wa Nchi yetu.
Hawa hawawezi kukupa uhalali. No legitimacy kwenu.
Watanzania hawatakubali kuongozwa kimabavu. #NoReformsNoElection.
John Heche.
-----------------------------
Kupitia ukurasa wake wa X-Twitter Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche ameandika kuwa;
Makanisa ya kuunga unga ni kero,ni ubabaishaji.Anajisifu kuleta uhuru wa habari huku amewafungia Chadema na Makanisa ya Ufufuo na uzima yamefungwa kisa Gwajima amepinga utekaji.
Shobo za nini? Mlisusa komaeni hivyo hivyo.Amejiandalia wapinzani wake, ambao ni vibaraka wake.
Amewapa ufadhili mpaka na magari ya kuzunguka.
Amewapa na script nini cha kusema kuhusu yeye na serikali yake!!!
What a shame kwenye uongozi wa Nchi yetu.
Hawa hawawezi kukupa uhalali. No legitimacy kwenu.
Watanzania hawatakubali kuongozwa kimabavu. #NoReformsNoElection.
John Heche.
-----------------------------
Kupitia ukurasa wake wa X-Twitter Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche ameandika kuwa;
Uwe mwangalifu unapotoa maneno ya dhihaka kwa kanisa hata kama liko chini ya mtiMakanisa ya kuunga unga ni kero,ni ubabaishaji.
Yesu Kristo chakula,kunywaji bure,hao wengine wanadai wapewe sio sadaka tu hata fungu la kumi.
Fungu la kumi ni bajeti za nchi,je wao wana sifa hizo?
Mzee wa tone tone punguza wivu jomba wivu unakusumbua !!!Amejiandalia wapinzani wake, ambao ni vibaraka wake.
Amewapa ufadhili mpaka na magari ya kuzunguka.
Amewapa na script nini cha kusema kuhusu yeye na serikali yake!!!
What a shame kwenye uongozi wa Nchi yetu.
Hawa hawawezi kukupa uhalali. No legitimacy kwenu.
Watanzania hawatakubali kuongozwa kimabavu. #NoReformsNoElection.
John Heche.
-----------------------------
Kupitia ukurasa wake wa X-Twitter Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche ameandika kuwa;
Ilo kanisa lanani mkuu??Uwe mwangalifu unapotoa maneno ya dhihaka kwa kanisa hata kama liko chini ya mti
Wao ambao hawaja andaliwa wamesusa uchaguzi kwasababu walizo toa (kampeni ya kuzuia uchaguzi), hata wasinge andaliwa uchaguzi ungefanyika kwakuwa CCM na serikali wameamua! Ninachosema wangejaribu kutoa feedback kwasasa uchaguzi upo au haupo kama walivyo nadi awali? Na tija ya kususa ni ipi kwa taifa na chama hicho chenye wapinzani wa kweli.
Crap! Kama huna uelwa, utambue kuwa siku zote, katika nchi zote, chama cha siasa hugharamiwa na wanachama.Mzee wa tone tone punguza wivu jomba wivu unakusumbua !!!
nyinyi mkipewa pesa wenzenu wananyut kimya !!
mbaya zaidi ni nyinyi ndio mnapiga mikelele !!
mkikosa mnaenda kitone tone kukamua wananchi wanyonge mnaojidai kuwatetea!!!!
Nchi ngumu sana hii.
Ikiwa amchukui hatua zozote zaidi ya kuandika Comment na threads je mnafikiri Ccm itatokaje madarakani mkuu.Crap! Kama huna uelwa, utambue kuwa siku zote, katika nchi zote, chama cha siasa hugharamiwa na wanachama.