View attachment 3461711
Aibu sana... Yaani baiskeli, Pikipiki, khanga, vitenge, t-shirts ndo wanaona ni mahitaji ya msingi!
No wonders wenye akili timamu kama TAL hawapendwi!
Ili uwe uchaguzi ilitakiwa iweje? Kuna sehemu ya katiba au sheria imevunjwa? Mimi nautambua kama uchaguzi kwakuwa upo kwa mujibu wa katiba, nawaona wagombea (wa CCM na hao wanao itwa wa kupandikizwa), naoan sera, naona wananchi wanashirikia ktk kampeni, naona tume ya uchaguzi ikiratibu mchakato huu wa uchaguzi. Wewe kwanini unaona huo si uchaguzi?