John Heche amjibu Gerson Msigwa: Msemaji wa Serikali au Serikali inawezaje kuita watu Nguchiro

Gerson Msigwa
 
Heche ni mpumbavu sana. Kuna sheria gani inaruhusu namba ya mtu kuwekwa hadharani kwa nia ovu ya kumtukana? Mkiambiwa mlikuwa nyuma ya machafuko ya October 29 mnakana.
Sisi tulikuwa nyuma ninyi mlikuwa mbele na mitutu
 
Anyway, nyinyi kama sio nguchiro basi mimi ni mguchiro, heche atuache manguchiro, hatutaki kusemewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…