Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,990
- 3,824
Bwana huyu nimekuwa nikimfuatiliia sana hotuba zake hasa wakati wa kampeni ya No Reforms no Election. Alikuwa akichambua vitu mpaka nasema yes this is the leader we want in our country na si Hawa wanaosema watanunua matrekta million 10. Heche anajua kueleza, anajua kujenga hoja . Anajua Tanzania na watanzania wanahitaji nini ili kujikwamua. Heche anajua vizuri kwamba umasikini wa watanzania ni wakutengenezwa. Na walioutengeneza walifanya na wanafanya makusudi ili watanzania waendelee kuwa masikini halafu ikifika uchaguzi wawasombe kwenye malori wakati wao wanaruka kwa helicopter.
What an insult. Heche anamsimamo. Ukweli ni kwamba chadema ndiyo chama Cha kweli Cha upinzani kwasasa katika uongozi huu wa Lisu na Heche. Pamoja na mateso,manyanyaso na kila aina ya Madhira anayopitia Heche na wanachadema kama mnyika,Golugwa n.k. Lakini Heche ameendelea kusimama kuwa imara na hajasaliti. This is what defines a man and a true revolutionist. Heche Mungu akubariki sana kwa kuwasemea na kuwaamusha watanzania. Kama ni shule umewapa kilichobaki ni wao kuamua kuuza au kubakiza nchi October.
Mimi naamini wewe ukiwa hata waziri mkuu na Juu Yako tukawa na Rais Makini. Ndani ya muda mchache tu then we beat the showdown. Afrika mashariki hatukamatiki.
Umekuwa ukisema"katikati ya utajiri ni mjinga pekee anaweza kuwa masikini"
Na Mimi naamini kabisa tuna utajiri mno kama nchi lakini tu masikini.
Juzi nilikuwa naangalia Chinese victory parade. Nilichokiona katika military weapon display nilibaki kusema sisi tumerogwa na nani? Ni vipi tunasema mitano tena kwa kiongozi asiye na uwezo? Hajui hata nchi yake,hawezi kujieleza,hawezi kujenga hoja.
Heche. "Hasta la Victorie siempre" go Heche go Lisu go Polepole.
Napenda sana kuwasikiliza ninyi nyote.