John Heche anapokelewa nyumbani kwao Tarime muda huu

John Heche anapokelewa nyumbani kwao Tarime muda huu

Mbona huu uzi hauna wachangiaji? Wana Chadema ebu njooni mumuunge mkono mwenzenu!
 
Mwa huu tutagawana mbao Bora tuanze upya lakini sio kuwa koloni la wazanzibar

Wazazibari wamejazana kwenye afya na police mpka katavi uko Sasa unajiuliza watanganyika mbona kufanya kazi serikali za Zanzibar ni ngumu?

Huyu mama inatosha Sasa atupishe!!
 
Hatuwezi kuchagua mzanzibar tukaacha ndugu zetu tutakuwa ni wajinga sn
 
Wanabodi Habari...

Hivi Mnamfatilia John Heche Kweli...???
Nimeambiwa anahutubia huko Tarime muda huu.. Tunaomba mwenye updates atuwekee..
 
Kwa haya maombi anayofanyiwa Heche, napata faraja sana kuwa ukombozi wa Tanzania dhidi ya udhalimu wa CCM u karibu.
Kwanini hamfanyi maombi umaskini na maradhi viwatoke?? Yaani mmedhihirisha wazi mna utoto na ujinga mwingi sana 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom