Tena hata sasa amechelewa. Yeye ndio alipaswa kuwa mwenyekiti hata sasa, ila Mbowe alilazimisha kuendelea kuwa mwenyekiti.
Hakusoma vyuo vya mbogambogaNaunga mkono hoja kwa 100%.
Huyu mwamba alishawahi kumbana Magu kwny mkutano kule Tarime Magu akaishia tu kusema usinijibu hivyo, wewe ni sawa na Mwanangu,hahahah.
Awamu ijayoNilisha wahi kutoa wazo kama hili, jamaa yupo vizuri hana nidhamu ya uoga
Awamu ijayo
Huyu mwamba ni mwamba hasaHuenda alitahiriwa kwa kung'ata jiti bila ganzi
Siyo kweli mkuuYaani Wewe mpaka leo hujajua Msingi Mkuu wa kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho si tu ni lazima bali ni Amri uwe unatokea uliko ule Mlima Mrefu?
Kwanini mkuu?Haitatokea kamwe
Kwasababu?Labda Baada ya mbowe kufariki
As if ulikuwa akilini mwangu.Naomba hata vikao vya mchujo aongoze yeye.Mbowe amevusha Chama kwenye uchaguzi wa ndani naamini ni wakati muafaka gia ibadilike tupate tone ya Kikurya kidogo.Huyu Mkurya anajielewa sana, na ana msimamo thabiti kabisa
Msikilize
Nilisha wahi kutoa wazo kama hili, jamaa yupo vizuri hana nidhamu ya uoga
We!!!!!Huyu Mkurya anajielewa sana, na ana msimamo thabiti kabisa
Msikilize