chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
John Heche na John Mnyika walikuwa na kikao katika Jiji la Mwanza kilichohusisha wilaya ya Nyamagana na Ilemela, John Heche alishangazwa na uchache wa watu katika ukumbi, na akasema angalau Iringa walikuwa na watu 2000.
Hiki chama kikiwa mitandaoni kinajifananisha na jini kubwa sana. Lakini saiti, ni jini la barafu, jua likiwaka, linayeyuka.
CCM Kanda ya ziwa bado ni chama imara.
Hakika CHADEMA inakufa kifo Cha kiasili.