John Heche ashangaa wajumbe wachache kuhudhuria mkutano alioalikwa akiwa na John Mnyika

John Heche na John Mnyika walikuwa na kikao katika Jiji la Mwanza kilichohusisha wilaya ya Nyamagana na Ilemela, John Heche alishangazwa na uchache wa watu katika ukumbi, na akasema angalau Iringa walikuwa na watu 2000.

Hiki chama kikiwa mitandaoni kinajifananisha na jini kubwa sana. Lakini saiti, ni jini la barafu, jua likiwaka, linayeyuka.

CCM Kanda ya ziwa bado ni chama imara.

Hakika CHADEMA inakufa kifo Cha kiasili.
Badilisheni muelekeo, mazuri sifieni na mabaya kosoeni mtaona mabadiliko
 
Kanda ya ziwa ilichukizwa mno na kitendo cha Chadema kushangilia kifo cha Magufuli
kamfufue uzikwe wewe. kwa taarifa yako siyo chadema tu walioshangilia hata ccm wenzio walishangilia " wazuri hawafi" Makamba mkubwa
 
John Heche na John Mnyika walikuwa na kikao katika Jiji la Mwanza kilichohusisha wilaya ya Nyamagana na Ilemela, John Heche alishangazwa na uchache wa watu katika ukumbi, na akasema angalau Iringa walikuwa na watu 2000.

Hiki chama kikiwa mitandaoni kinajifananisha na jini kubwa sana. Lakini saiti, ni jini la barafu, jua likiwaka, linayeyuka.

CCM Kanda ya ziwa bado ni chama imara.

Hakika CHADEMA inakufa kifo Cha kiasili.

Dada punguza umbeya leta hoja na sera.
 
Back
Top Bottom