John Heche ashangaa wajumbe wachache kuhudhuria mkutano alioalikwa akiwa na John Mnyika

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
John Heche na John Mnyika walikuwa na kikao katika Jiji la Mwanza kilichohusisha wilaya ya Nyamagana na Ilemela, John Heche alishangazwa na uchache wa watu katika ukumbi, na akasema angalau Iringa walikuwa na watu 2000.

Hiki chama kikiwa mitandaoni kinajifananisha na jini kubwa sana. Lakini saiti, ni jini la barafu, jua likiwaka, linayeyuka.

CCM Kanda ya ziwa bado ni chama imara.

Hakika CHADEMA inakufa kifo Cha kiasili.
 
acha kudanganya hukumuelewa heche wew punga la ccm njoo na hio ccm yako au wambien wabunge wenu fake wa nyamagana na ilemela wafanye mikutano hata ya hadhara kama watapata watu hata 100, alichosema heche ni kwamba viongoz watoe elimu kubwa ili iwaingie wananchi sawa sawa sasa wewe unafugwa kwenye makorido ya lumumba hujui hata mitaa ya mwanza umekalia umbea kupotosha jf, njoo mwanza ulinganishe kati ya chadema na ccm kipi chama chenye nguvu.
 
Kanda ya ziwa ilichukizwa mno na kitendo cha Chadema kushangilia kifo cha Magufuli
 
Wote walioitakia Chadema mabaya wamekufa wao,kama lile ibilisi la kihutu lilitumia mabilioni ya kodi zetu kujaribu kuiua Chadema likafa kibudu.
 
Achana na hilo shoga bobevu la CCM
 
Wewe kama kuna ndugu wa karibu, waombe wakusaidie kukifikisha Milembe Hospital.

Kila wakati unaleta vitu vya ajabu. Mpaka leo huelewi hata namna ya kuleta hoja. Wala huna hata uwezo wa kufundishika. Siku zote hizi hujifunzi hata toka kwa wengine wenye uwezo? Utadumu katika ujinga mpaka lini? Ndiyo maana, nadhami hupo katika utimamu. Waone matibabu wa magonjwa ya akili.

Kama unadhani bado umzima, haya, ebu eleza, hiki ulichokileta unataka wanaJF wajadili nini? Ulichokileta siyo hoja, siyo habari. Labda ni mambo tu yanayopita kichwani mwa mtu aliyekosa utimamu.
 
Una uhakika huyu Etwege yupo kwenye ofisi za Lumumba? Sidhani, kama CCM itakuwa imekosa watu mpaka kuishia kwa watu wenye upeo mdogo kiasi hiki. Huyu japo mara nyingi anapenda kuandika hapa JF lakini hajawahi kuandika kitu cha maana hata siku moja. Kwa kusoma maandiko yake utagundua ni very low mind.

Ni tusi kubwa kwa CCM kusema watu wenye upeo na akili ndogo kama Etwege eti wanaiwakilisha CCM.
 

Jpm atawatesa sana Bado kwenye uchaguzi wasipokili mapema
 

Acha kupotosha kauli ya Hechee.
 
Kanda ya ziwa ilichukizwa mno na kitendo cha Chadema kushangilia kifo cha Magufuli

Kanda ya Ziwa ipi?. Halafu lini CHADEMA walishangilia kifo Cha Magu?. Nachojua CHADEMA walihusika kuhabarisha umma kuwa Magufuli kafariki, lakini CCM wakawa wanapinga, CHADEMA walipotangaza press conference kuweka mambo wazi ndipo CCM wakakurupuka kutangaza msiba usiki wa manane.
 
Unamfahamu Sufiani? Ana tofauti gani na Etwege?
 
Ukitaka ukubalike uchaguzi ujao magu anahusika
Ukileta UMAGU, CCM asili na na CDM wataungana, CDM hawatataka jambazi lirudi, Bora CDM wajiunge na CCM asili ili wasilete majambazi.

Na hicho kitaamua uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…