John Heche asimamia semina elekezi Karatu, ukumbi wazidiwa na umati

View attachment 1490375

Huu ni mwaka wa uchaguzi na mnakumbuka kwamba tuliwahi kuonya kwamba kuiteketeza ccm inahitaji siku 7 tu , na hali ndio kama mnayoiona.

Bila Polisi ccm ni wepesi kuliko pamba .
Leta picha ya sasa! huyo ni Heche kabla ya ubunge, Heche wa sasa huwezi tofautisha shingo na mgongo. Anyway covid-19 imeisha?
 
View attachment 1490375

Huu ni mwaka wa uchaguzi na mnakumbuka kwamba tuliwahi kuonya kwamba kuiteketeza ccm inahitaji siku 7 tu , na hali ndio kama mnayoiona.

Bila Polisi ccm ni wepesi kuliko pamba .
Huyo "Osidii" ataitwa mbele ya kamati ya maadili ya "sisiem" kwanini akiuke maelekezo ya mwenyekiti aruhusu chama pinzani kufanya kikao Cha ndani ndani ya wilaya Yake. Bunduki na mabomu vilikuwa wapi?

Nchi ya Yoruba ina tabu na matatizo Sana hii, sisiem must go
 
Tutawachakaza vibaya sana,ngoja kampeni zianze
mioyo yetu iko dhabiti kabisa
Unganisheni nguvu pamoja na wazalendo kuwaondoa kaburu mweusi,wekeni pembeni tofauti zenu .Watanzania wanawategemea na wapo tayari kuwaondoa madikteta after 5 long years. We had been stinged&pinched too hard,we want changes of the Regime.
 
Kwa historia hii nimeelewa kwanini unakua mlalamishi sana. Pole sana mkuu
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Chadema imo mioyoni mwa Watanzania wanaojitambua. Pamoja na juhudi za yesu FAKE wa chato AKA dikteta za miaka mitano kuisambaratisha Chadema kwa kununua wabunge na madiwani, kuzuia mikutano mara nyingi, kuwashambulia viongozi na wanachama wa Chadema, kuwabambikia kesi FAKE wanachama na viongozi lakini Chadema bado IPO IPO sana tu.

Mwenyezi Mungu ibariki Chadema na wanachama wake wote pamoja na Viongozi kila kona Nchini πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½

Mafuriko tayari hata kabla ya masika! Yajayo yanafurahisha.
 
Hii picha haiwezi kuwa ya 2015. Hiyo t-shirt aliyova Heche, zilianza kuvaliwa mwaka Jana kwenye uchanguzi wa ndani wa CDM Taifa. Wanawake wamevalia vitenge vilivyoanza kuvaliwa 8/3/2020 siku ya wanawake. Hii ni picha ya mwaka huu bila shaka yoyote.
mkuu usihangaike na huyo kapuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…