Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wakuu!
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, akizungumza Julai 9, 2025 kwenye uzinduzi wa CHADEMA Family Musoma Mjini amesema "CCM wamefuta Mikutano yetu kinyume na Haki kupitia Vyombo vya Dola"
==
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ameongoza uzinduzi wa Chadema Family katika matawi ya Kigera na Kwangwa B, Halmashauri ya Musoma Mjini.
"Hiki mnachokifanya cha Chadema Family kukutana kama njia ya kuhakikisha mnakieneza Chama chetu, pia ni njia ya kupambana na mdhalimu."
Uzinduzi huu ni sehemu ya utekelezaji wa maazimio ya Chama katika kuhakikisha kila eneo linaunda na kuimarisha Chadema Family kama nguzo muhimu ya kuhamasisha ushiriki wa wanachama, ujenzi wa umoja, na kuimarisha harakati za kisiasa ngazi ya jamii.
Shughuli zinaendelea kote nchini kwa lengo la kuimarisha misingi ya demokrasia ya kweli kupitia ushirikishwaji wa wananchi kutoka ngazi ya chini.