GE2025 John Heche: CCM wamefuta Mikutano yetu kinyume na Haki kupitia Vyombo vya Dola

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu!

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, akizungumza Julai 9, 2025 kwenye uzinduzi wa CHADEMA Family Musoma Mjini amesema "CCM wamefuta Mikutano yetu kinyume na Haki kupitia Vyombo vya Dola"

==

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ameongoza uzinduzi wa Chadema Family katika matawi ya Kigera na Kwangwa B, Halmashauri ya Musoma Mjini.

"Hiki mnachokifanya cha Chadema Family kukutana kama njia ya kuhakikisha mnakieneza Chama chetu, pia ni njia ya kupambana na mdhalimu."

Uzinduzi huu ni sehemu ya utekelezaji wa maazimio ya Chama katika kuhakikisha kila eneo linaunda na kuimarisha Chadema Family kama nguzo muhimu ya kuhamasisha ushiriki wa wanachama, ujenzi wa umoja, na kuimarisha harakati za kisiasa ngazi ya jamii.

Shughuli zinaendelea kote nchini kwa lengo la kuimarisha misingi ya demokrasia ya kweli kupitia ushirikishwaji wa wananchi kutoka ngazi ya chini.
 
NO REFORMS, NO ELECTION.
 
Heche kaziba ombwe ambalo lilitarajiwa baada ya Lissu kuwekwa korokoroni.

Chadema ina hazina ya viongozi, tapeli la machame lilituchelewesha sana.
Heche mwenyewe anakiri kuwa ameingizwa kwenye siasa na amelelewa na Mbowe. Kwa maneno mengine bila huyo tapeli wa Machame asingekuwepi Heche na hata Lissu.

Amandla...
 
Heche ashughulikie ugonjwa wake wa kiharusi (stroke) iliyompata hivi karibuni, naona mpaka mdomo unaenda upande
 
Wakuu!

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, akizungumza Julai 9, 2025 kwenye uzinduzi wa CHADEMA Family Musoma Mjini amesema "CCM wamefuta Mikutano yetu kinyume na Haki kupitia Vyombo vya Dola"

==

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ameongoza uzinduzi wa Chadema Family katika matawi ya Kigera na Kwangwa B, Halmashauri ya Musoma Mjini.

"Hiki mnachokifanya cha Chadema Family kukutana kama njia ya kuhakikisha mnakieneza Chama chetu, pia ni njia ya kupambana na mdhalimu."

Uzinduzi huu ni sehemu ya utekelezaji wa maazimio ya Chama katika kuhakikisha kila eneo linaunda na kuimarisha Chadema Family kama nguzo muhimu ya kuhamasisha ushiriki wa wanachama, ujenzi wa umoja, na kuimarisha harakati za kisiasa ngazi ya jamii.

Shughuli zinaendelea kote nchini kwa lengo la kuimarisha misingi ya demokrasia ya kweli kupitia ushirikishwaji wa wananchi kutoka ngazi ya chini.
CCM HAWATAFANIKIWA NA KIFO CHAO KI KARIBU SANA WALA MSIHOFU WATANZANIA.
 
Huyu Heche ana uchungu sana na nchi yetu- Ni JPM ajae- ujumbe ndio huo
 
Back
Top Bottom