Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
NO REFORMS, NO ELECTION.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ameongoza uzinduzi wa Chadema Family katika matawi ya Kigera na Kwangwa B, Halmashauri ya Musoma Mjini.
Uzinduzi huu ni sehemu ya utekelezaji wa maazimio ya Chama katika kuhakikisha kila eneo linaunda na kuimarisha Chadema Family kama nguzo muhimu ya kuhamasisha ushiriki wa wanachama, ujenzi wa umoja, na kuimarisha harakati za kisiasa ngazi ya jamii.
Shughuli zinaendelea kote nchini kwa lengo la kuimarisha misingi ya demokrasia ya kweli kupitia ushirikishwaji wa wananchi kutoka ngazi ya chini.
Shughuli zinaendelea kote nchini kwa lengo la kuimarisha misingi ya demokrasia ya kweli kupitia ushirikishwaji wa wananchi kutoka ngazi ya chini.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ameongoza uzinduzi wa Chadema Family katika matawi ya Kigera na Kwangwa B, Halmashauri ya Musoma Mjini.
Uzinduzi huu ni sehemu ya utekelezaji wa maazimio ya Chama katika kuhakikisha kila eneo linaunda na kuimarisha Chadema Family kama nguzo muhimu ya kuhamasisha ushiriki wa wanachama, ujenzi wa umoja, na kuimarisha harakati za kisiasa ngazi ya jamii.
Shughuli zinaendelea kote nchini kwa lengo la kuimarisha misingi ya demokrasia ya kweli kupitia ushirikishwaji wa wananchi kutoka ngazi ya chini.
Mwamba uchwara tungesubiri sanaHeche kaziba ombwe ambalo lilitarajiwa baada ya Lissu kuwekwa korokoroni.
Chadema ina hazina ya viongozi, tapeli la machame lilituchelewesha sana.
....Na hiyo Misukosuko ndio inaikuza Zaidi CHADEMA.,.💪CHADEMA ni chama kikubwa cha kitaifa kinazidi kuwa imara licha ya kupitia misukosuko mingi
Heche mwenyewe anakiri kuwa ameingizwa kwenye siasa na amelelewa na Mbowe. Kwa maneno mengine bila huyo tapeli wa Machame asingekuwepi Heche na hata Lissu.Heche kaziba ombwe ambalo lilitarajiwa baada ya Lissu kuwekwa korokoroni.
Chadema ina hazina ya viongozi, tapeli la machame lilituchelewesha sana.
Hii rangi nyekundu haijawahi kuwa njema.CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
CCM HAWATAFANIKIWA NA KIFO CHAO KI KARIBU SANA WALA MSIHOFU WATANZANIA.Wakuu!
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, akizungumza Julai 9, 2025 kwenye uzinduzi wa CHADEMA Family Musoma Mjini amesema "CCM wamefuta Mikutano yetu kinyume na Haki kupitia Vyombo vya Dola"
==
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ameongoza uzinduzi wa Chadema Family katika matawi ya Kigera na Kwangwa B, Halmashauri ya Musoma Mjini.
"Hiki mnachokifanya cha Chadema Family kukutana kama njia ya kuhakikisha mnakieneza Chama chetu, pia ni njia ya kupambana na mdhalimu."
Uzinduzi huu ni sehemu ya utekelezaji wa maazimio ya Chama katika kuhakikisha kila eneo linaunda na kuimarisha Chadema Family kama nguzo muhimu ya kuhamasisha ushiriki wa wanachama, ujenzi wa umoja, na kuimarisha harakati za kisiasa ngazi ya jamii.
Shughuli zinaendelea kote nchini kwa lengo la kuimarisha misingi ya demokrasia ya kweli kupitia ushirikishwaji wa wananchi kutoka ngazi ya chini.
Hawa wajinga watamalizana wenyewe kwa wenyewe, mwisho wa ubaya ni aibu.Hii rangi nyekundu haijawahi kuwa njema.
No reforms, No elections