Waotishe wagiwa wote wawape maridhiano nao.....sio chauma na fake fake kina malasusa .....toilet paper...na sheikh ubwabwa sijui bwabwajas......Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakitakuwa tayari kwa maridhiano yenye kupumbaza, kuhadaa, yenye ulaghai na yenye kuliondoa Taifa kwenye ukweli, haki na kile ambacho Taifa inataka na kusisitiza kuwa kamwe CHADEMA haitowasiliti Watanzania.
Akiongea leo January 03,2026, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema “CHADEMA, Chama chenu hakitakuwa tayari kwa maridhiano yenye kupumbaza, kuhadaa, yenye ulaghai na yenye kuliondoa Taifa kwenye ukweli, haki na kile ambacho Taifa inataka, kamwe hatuwasaliti Watanzania”
“Ni ubatili na dharau kubwa kwa Watanzania kuyaita maridhiano sasa katika mazingira ambapo Serikali iliamua kwa makusudi kuwapuuza Wananchi, Vyama vya siasa na Wadau wa demokrasia juu ya hitaji la nchi kuhusu mabadiliko (reforms) ya mifumo ya uchaguzi nchini, uchaguzi batili hauishii kwenye siasa pekee, huingia moja kwa moja kwenye tumbo la mwananchi na heshima ya maisha yake ya kila siku”
“Leo ninapotoa salamu hizi ni siku ya 269, tangu Mwenyekiti wetu, Tundu Lissu alipokamatwa na kuwekwa mahabusu kwa kesi ya uongo, batili na yenye uonevu wa makusudi wakidhani atapiga magoti kusujudia sanamu”.
Zitto mzee wa opportunity wakati huu anapiga pasi suti.Waotishe wagiwa wote wawape maridhiano nao.....sio chauma na fake fake kina malasusa .....toilet paper...na sheikh ubwabwa sijui bwabwajas......
mkuu hao machawa wanatapatapa sana walidhani itakuwa rahisi hivyoHuu ndio msimamo makini sana. Najivunia sana kushabikia chama kinachojitambua. Kuna wajinga wanadhani bado cdm ni chama kinachotetemekea ruzuku. Cdm imeshavuka hatua ya kutegemea ruzuku, maana hiyo ilitumika kuvuruga vyama vya upinzani. Msimamo ni huo huo. Bigup cdm.
stakehigh ERTUGRUL BEY HAYA LAND HOV THE BIG SHOW
Kwani Wakidakwa ndio utakuwa na akili au?Kwani wameitwa kwenye maridhiano!?..sisi tunataka wadakwe wanyee debe
Samia na kundi linalomzunguka ni kama watu ambao akili zao zina kasoro kubwa sana; kwa kudhani kuwa waTanzania hawajui chochote au hawakumbuki ulaghai na hadaa zinazofanywa na kundi hili.“Ni ubatili na dharau kubwa kwa Watanzania kuyaita maridhiano sasa katika mazingira ambapo Serikali iliamua kwa makusudi kuwapuuza Wananchi, Vyama vya siasa na Wadau wa demokrasia juu ya hitaji la nchi kuhusu mabadiliko (reforms) ya mifumo ya uchaguzi nchini, uchaguzi batili hauishii kwenye siasa pekee, huingia moja kwa moja kwenye tumbo la mwananchi na heshima ya maisha yake ya kila siku”
Kwani aliyetaka maridhiano ni heche au ccm? Hebu ni wapi chadema au heche waliitisha maridhiano baada y uchaguzi.Nilishashauri hakuna haja ya maridhiano na hawa wahuni. Serikali isonge mbele kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM kwa sababu miaka 5 ni michache mno. Tusipoteze kuridhiana na wahuni aina ya Heche.
Waridhiane na magari na pikipiki zilizochomwa moto. Hatukubali....tunataka miili ya ndugu zetu, watueleze kwanini hadi leo wameficha maiti za ndugu zetu? Na kwanini wameficha?Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakitakuwa tayari kwa maridhiano yenye kupumbaza, kuhadaa, yenye ulaghai na yenye kuliondoa Taifa kwenye ukweli, haki na kile ambacho Taifa inataka na kusisitiza kuwa kamwe CHADEMA haitowasiliti Watanzania.
Akiongea leo January 03,2026, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema “CHADEMA, Chama chenu hakitakuwa tayari kwa maridhiano yenye kupumbaza, kuhadaa, yenye ulaghai na yenye kuliondoa Taifa kwenye ukweli, haki na kile ambacho Taifa inataka, kamwe hatuwasaliti Watanzania”
“Ni ubatili na dharau kubwa kwa Watanzania kuyaita maridhiano sasa katika mazingira ambapo Serikali iliamua kwa makusudi kuwapuuza Wananchi, Vyama vya siasa na Wadau wa demokrasia juu ya hitaji la nchi kuhusu mabadiliko (reforms) ya mifumo ya uchaguzi nchini, uchaguzi batili hauishii kwenye siasa pekee, huingia moja kwa moja kwenye tumbo la mwananchi na heshima ya maisha yake ya kila siku”
“Leo ninapotoa salamu hizi ni siku ya 269, tangu Mwenyekiti wetu, Tundu Lissu alipokamatwa na kuwekwa mahabusu kwa kesi ya uongo, batili na yenye uonevu wa makusudi wakidhani atapiga magoti kusujudia sanamu”.
Umeongea ukweli. Kwakuwa Mali zinawauma kuliko roho walizopiteza wakaridhiane na wenye Mali wakalipaneWaridhiane na magari na pikipiki zilizochomwa moto. Hatukubali....tunataka miili ya ndugu zetu, watueleze kwanini hadi leo wameficha maiti za ndugu zetu? Na kwanini wameficha?
Aiseee! chawa hana akili.Kwani Wakidakwa ndio utakuwa na akili au?