John Heche: CHADEMA ina wanachama milioni nane

Izia maji

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
2,997
Reaction score
5,385
Mbunge wa zamani wa Chadema jimbo la Tarime amesema hivi sasa chama hicho kimepata mafanikio makubwa kutokana na kampeni ya Chadema digito inayoendelea. Amesema hayo leo tarehe 4 Disemba 2021 kupitia kipindi cha Medani ya Siasa cha Star TV kinachoendeshwa na Odemba. Amesema kupitia kampeni hiyo chama hicho kimesajili wanachama milioni nane.

Aidha amesema kutokana na kuwa na wanachama hao milioni nane ambao wanachangia Shs. 500/= kwa mwezi kila mmoja, Chama kinapata Shs. Bilioni nne kwa mwezi.

Fedha hizo zitakiwezesha Chadema kuendesha shughuli za kiofisi na kujenga ofisi mpya katika majimbo mbalimbali.
 
waoneshe mfano kwa kuweka wazi hesabu za makusanyo na matumizi ya chama ikiwezekana kila mwezi...

wanachama 8mil iwe ni halisi na wawe wanapiga kura....kama CDM ina wanachama hai 8mil..CCM itakuwa na wanachama wangapi? maana wanufaika wa CCM ni wengi kuliko tunavyofikiri kuanzia huko mashinani mpaka mikoani kwa viongozi na familia zao...kumbuka CCM imefika kila mahala kuanzia kigonsela, nanyamba mpaka kibirizi na mwandiga kwa ZZK...
 
CHADEMA HAIPO WAPI?

Milioni nane inawezekana hawajafika lakini CHADEMA ina wanachama kila kona ya nchi hii.
 
Sema watanzania siasa kwao ni.kitu chanyongeza tu wengi wanapenda umbeya kuliko chochote angalia siku zicheze simba na yanga nchi inavyosimama kwa mjadara wa mabishano ila watu wakileta habari za katiba awakuelewi aliyeturoga halitupatia kweli kweli.
 
Mbunge wa zamani wa Chadema jimbo la Tarime amesema hivi sasa chama hicho kimepata mafanikio makubwa kutokana na kampeni ya Chadema digito inayoendelea. Amesema hayo leo tarehe 4 Disemba 2021 kupitia kipindi cha Medani ya Siasa cha Star TV kinachoendeshwa na Odemba. Amesema kupitia kampeni hiyo chama hicho kimesajili wanachama milioni nane.

Aidha amesema kutokana na kuwa na wanachama hao milioni nane ambao wanachangia Shs. 500/= kwa mwezi kila mmoja, Chama kinapata Shs. Bilioni nne kwa mwezi.

Fedha hizo zitakiwezesha Chadema kuendesha shughuli za kiofisi na kujenga ofisi mpya katika majimbo mbalimbali.
HV kweli kwa hela yote hiyo bado mpo ufipa tuu haaa haaa daah Heche bwana
 
waoneshe mfano kwa kuweka wazi hesabu za makusanyo na matumizi ya chama ikiwezekana kila mwezi...
Kwani CAG hakagui? Hata PCCB walikagua hawakuona ubadhirifu ila ww layman wa JF ndio una doubt??
kumbuka CCM imefika kila mahala kuanzia kigonsela, nanyamba mpaka kibirizi na mwandiga kwa ZZK
CHADEMA ilisimamisha wagombea 95% ya mitaa, vijiji na vitongoji alafu unadhani hakijasambaa kama CCM!!?
 
Kwani CAG hakagui? Hata PCCB walikagua hawakuona ubadhirifu ila ww layman wa JF ndio una doubt??

CHADEMA ilisimamisha wagombea 95% ya mitaa, vijiji na vitongoji alafu unadhani hakijasambaa kama CCM!!?
Wahuni wa ccm wabishi sana. Wanachama wa CDM sio wachumia tumbo. Michango wanachangia kweli kweli sio masihala.
 
Mbunge wa zamani wa Chadema jimbo la Tarime amesema hivi sasa chama hicho kimepata mafanikio makubwa kutokana na kampeni ya Chadema digito inayoendelea. Amesema hayo leo tarehe 4 Disemba 2021 kupitia kipindi cha Medani ya Siasa cha Star TV kinachoendeshwa na Odemba. Amesema kupitia kampeni hiyo chama hicho kimesajili wanachama milioni nane.

Aidha amesema kutokana na kuwa na wanachama hao milioni nane ambao wanachangia Shs. 500/= kwa mwezi kila mmoja, Chama kinapata Shs. Bilioni nne kwa mwezi.

Fedha hizo zitakiwezesha Chadema kuendesha shughuli za kiofisi na kujenga ofisi mpya katika majimbo mbalimbali.
Hii habari ni tishio kwa wahuni
 
Back
Top Bottom