4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Hivi mafisadi KWa Sasa wamebaki mil ngapi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Dah!
View attachment 2034212
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mafisadi KWa Sasa wamebaki mil ngapi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Dah!
View attachment 2034212
Nasikia ipo na ccm c Sasa ,mwafaaa ccm
Hongereni kwa ubunifu tofauti na yale majangili yanatumia mali za umma kama za chamaMbunge wa zamani wa Chadema jimbo la Tarime amesema hivi sasa chama hicho kimepata mafanikio makubwa kutokana na kampeni ya Chadema digito inayoendelea. Amesema hayo leo tarehe 4 Disemba 2021 kupitia kipindi cha Medani ya Siasa cha Star TV kinachoendeshwa na Odemba. Amesema kupitia kampeni hiyo chama hicho kimesajili wanachama milioni nane.
Aidha amesema kutokana na kuwa na wanachama hao milioni nane ambao wanachangia Shs. 500/= kwa mwezi kila mmoja, Chama kinapata Shs. Bilioni nne kwa mwezi.
Fedha hizo zitakiwezesha Chadema kuendesha shughuli za kiofisi na kujenga ofisi mpya katika majimbo mbalimbali.
Wamenyang'anya hadi viwanja vya michezo na maonyesho wakavifanya ni vyao.Hongereni kwa ubunifu tofauti na yale majangili yanatumia mali za umma kama za chama
Mpaka viwanja vya michezo karibu vyote wamechukua ukiacha uwanja wa Taifa pekeeWamenyang'anya hadi viwanja vya michezo na maonyesho wakavifanya ni vyao.
Hakika ni manyang'au!