Pre GE2025 John Heche chukua Umakamu Mwenyekiti wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

dndagula

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
1,602
Reaction score
1,650
Kwa hali ilivyo wananchi na wanachadema wote wanaomba uchukue fomu kwa ajili ya Makamu Mwenyekiti.

John unazo sifa zote kuliko Wenje na mwingine yeyote kwa nafasi hiyo.

Ni mwanachama Asili wa Chadema umepikwa na kupikikia na ni mzalendo wa kweli na mwenye Busara na Hekima utamsaidia Mwenyekiti wenu. Lifikilie ombi hili.

Ninakutakia jioni njema
 
Baada ya Mbowe kuchukua fomu naunga mkono hoja.
 
John Heche ndiye anayefaa sasa kuwa Mwenyekiti wa Chadema kwa wakati huu ambao vijana wamepoteza mwelekeo na matumaini kwenye kulipigania Taifa lao.
 
Hivi nmafikiri kuongoza chama Cha upinZani ni kukua kuongea tu
 
Back
Top Bottom