Akiongea leo, John Heche amesema kuwa "Akina Duni Haji ambao wamekuwa na historia nzuri lakini sasa wanatumika na CCM kuharibu ujenzi wa demokrasia, Freeman Mbowe hawezi kuomba msamaha kwa kesi hii ya kutengeneza"
Kosa la Babu Duni ni lipi?
Anayependa awe HURU kwa KUOMBA MSAMAHA?msamaha maana yake umekiri kosa,unajutia na hautarudia Tena...Sasa kosa la MBOWE NI LIPI?HATOOMBA MSAMAHA NA MBOWE SIYO GAIDIKama sote tunaamini kuwa Mh. Mbowe yuko ndani kidhalimu kwanini akitokea mtu anaependa awe huru tunapinga bila hoja za msingi? Kikubwa tunakimbilia udini kwahyo CCM wote wamekuwa waislam kipindi hiki kwakua mwenyekiti wao ni muislam?
Duni hakuongelea Msamaha yeye ameguswa na suala la Mbowe kuwa ndani na kutamani kutumia njia yeyote ili awe huru.Anayependa awe HURU kwa KUOMBA MSAMAHA?msamaha maana yake umekiri kosa,unajutia na hautarudia Tena...Sasa kosa la MBOWE NI LIPI?HATOOMBA MSAMAHA NA MBOWE SIYO GAIDI
Mkuu bilashaka hili ni swali, sijaelewa maana ya alama ya mshangao baada ya jina Mbowe.Kwahiyo SSH shida yake yeye ni kupigiwa magoti tu!
Hilo likitendeka,hapo hapo ataacha kumsulubu Mbowe!