Pre GE2025 John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Poleni sana huko gentleman 😄

Ova
 
Muonekano? Kwamba Mrisho Mpoto, Reemy Ongala hawa pia wasingekuwa na sura za kuwa viongozi?
Mnataka kutuletea kiongozi kutokana na sura wakati Mu gu alimuumba na kupendezwa naye?
 
Siasa huko nyumbani naona sahv mtatoana menu gentleman 😄
Acha sahv tuwe watazamaji

Ova
 
Shetani siku zote huwapinga watu waadilifu
 
Small mind discuss people
Average mind discuss events
And Big mind discuss ideas.


Mtu hujanywa hata chai unaamka na kutazama haiba za watu .

Hata Kama unalipwa na Ccm Ila jaribu Kufungua ofisi hata saatatu

Au msipopost inakuaje
Noma sana!
 
Kwani katiba ya chama chenu inasemaje kuhusu ilo?
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Bwana wewe nakuambia Heche na Lisu hawafai kuwa viongozi wakuu wa vyama vyovyote vya siasa wanaamini kumtumia nguvu tu kufikia malengo
 
gentleman,
kwahiyo kuna watu wanaumia kabisa huenda ikiwa ni pamoja na wewe, right?

ni kweli kabisaa unamia kwasabb ya siasa au hali ngumu ya maisha?[emoji1787]

acha uvivu gentleman ongeza bidii ya kazi, bila makasiriko utatoboa tu [emoji205]
Hey lady mimi sipati kula kwa kuwa chawa kama wewe, we unalipwa na kina abdul kwa kusambaza hizo propaganda zako uchwara

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
ni sawa,
nyie watu wa tamaa za mwili, vyeo na usaliti si mnafahamiana kwa code za uempty head
Gentleman, wanasiasa wa Tanzania wakimaliza kuwatumia nyie vijana watawatupa tu kama toilet paper. PLEASE ACHANA NAO MDOGO WANGU
 
Gentleman, wanasiasa wa Tanzania wakimaliza kuwatumia nyie vijana watawatupa tu kama toilet paper. PLEASE ACHANA NAO MDOGO WANGU
huo si utumwa gentleman,

unatumikaje kwa mfano gentleman,
hebu elezea wadau kwa kina kifupi kidogo ilikuaje ukatumika halafu ukatupwa kama toilet paper?

ni kwasababau ya uvivu wako, umaskini, uzembe au tamaa zako za kutaka kujipatia kipato kirahisi rahisi bila kufanya kazi kwa bidii, ama ilikua vipi gentleman?

umesoma soma kidogo? au ndio ile kanyaga twende?
 
Bwana wewe nakuambia Heche na Lisu hawafai kuwa viongozi wakuu wa vyama vyovyote vya siasa wanaamini kumtumia nguvu tu kufikia malengo
wajumbe wa mkutano mkuu chadema taifa,
watawanyorosha vizuri sana Jan,22.2025 hawataamini hawataamini macho yao,

we acha wajipige kifua tu mitandaoni
 
Siasa huko nyumbani naona sahv mtatoana menu gentleman 😄
Acha sahv tuwe watazamaji

Ova
na huu ni mwanzo tu,
mambo bado gentleman,

watu watulize ball na kujipanga vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…