Tetesi: John Heche kahujumiwa na chama chake CHADEMA

Tetesi: John Heche kahujumiwa na chama chake CHADEMA

Hahaha waongeze kanda, au wazigawe ili rafiki yangu John Heche naye apate kama kushindwa ni tatizo?!

Yani angeshinda John Heche ndiyo iwe sahihi?!

Vyeo vichache msitegemee kila mtu mnayempenda atapata mnachotaka.

Apanue goli awe naibu mwenyekiti wa kanda ya Serengeti.
 
Na huyu kijana kweli anaonekana ni maskini wa kutupwa kabisa. Kuandika mahusiano ya kimapenzi ya watu wenye familia zao, wakati huna ushahidi ni umaskini wa ukoo mzima.
Huu muda wa kuandika upuuzi na majungu ungeutumia kuandika wazo LA biashara tungepunguza idadi ya masikini nchini,

nyie madogo tafuteni hela hizi makitu zitawafanya masikini
 
Kama wewe siyo mwongo weka jina lako sahihi halafu kama unajua rushwa ya ngono imetumika ulipaswa kutoa taarifa TAKUKURU ili uchaguzi ufanyike kuliko kubwabwaja hapa, pole sana
Mbona wewe una jina Bandia?[emoji3]
 
Mbowe anawezaje hayo yote wakati hata dola hana? Analazimishaje wapiga kura?
 
Na kwa kuwa hujui nikujuze kidogo tu Mh. HECHE na Mh. MBOWE ni watu wa karibu zaidi kuliko Heche na hao uliowataja!

Kama unaakili na kumbukumbu kumbuka uchaguzi wa Bavicha uliomuweka Heche Kuwa Mwenyekiti wao.
Hata baada ya uchaguzi huo, Heche wakati wa kutoa shukrani, alisema kuwa, yeye Heche alikuwa mstari wa mbele kumshawishi Mbowe agombee hiyo nafasi ya Uenyekiti.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, lakini Mwenyekiti kagoma kung'atuka!
 
Duh mbona mambo mazito haya ila hata mm siamn kama Ester Matiko angeweza kumshinda kamanda Heche
 
Kwenye Siasa ni fitina tu,so inaweza kuwa kweli/Uongo,A & B ni sawa tu
 
Kama ulikuwa unajiuliza imekuwaje shujaa Heche aangushwe Serengeti basi UKWELI MCHUNGU ndio huo kuwa nguvu ya ngono na na urafiki wake na kina Selasini, Mwambe, Kubenea na Komu ndivyo vilivyo mgharimu.
Kama ushahidi pekee ulionao ndio huu, ni wajinga tu watakaokubaliana nawe.
Eleza kunagaubaga jinsi wajumbe zaidi ya 70 waliopiga kura walivyolazimishwa kumchagua Matiko.

Wakati mwingine, mnapoleta mada za kipumbavu kama hizi hapa ni kudharau uwezo wa wanaosoma maandishi yenu.

Hapa unatudharau sisi watu wa JF kwa kudhani hatuwezi kutumia akili zetu, na hapo hapo unawadharau wajumbe waliopiga kura na kufanya nasi tuwaone kama hawana akili kichwani.
 
Jamani fisiem, muwe na aibu. Kwa kuwa nyie mumezoea wizi na hongo mnadhani wote wanafanya hayo? Shame on you!
 
Back
Top Bottom