Tetesi: John Heche kahujumiwa na chama chake CHADEMA

Tetesi: John Heche kahujumiwa na chama chake CHADEMA

Click to expand...
Watu hawaogopi Chadema kama Chama Cha siasa Bali watu wanaogopa Chama kugeuzwa kuwa cha Kikabila.
Ukabila sio tunaoutaka .Tunataka Demokrasia .

Bora hata kifutwe Mana kitatuletea janga la ukabila Tanzania . Tumeshaona dalili na chuki zinazojengwa kwa wakosoaji wa Mbowe.

Mbowe ni sumu mbaya ya kujenga ukabila kwa Taifa hili. Ana agenda ya siri huyo Mbowe!?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] bangi bana katibu mkuu mpya Heche nitarejea.
 
Mkuu hajasema Bulaya ameseka Ester Matiko,,,,, labda matiko ndio mshindi wa huo uchaguzi!

Makala zingine bana NewOrder,
 
Umesikika,umesomeka lakini "hueleweki!" Msajili alishafanya nini juu ya chaguzi za ccm au kwa vile kinaongozwa na malaika "uchwara?"
 
Watu hawaogopi Chadema kama Chama Cha siasa Bali watu wanaogopa Chama kugeuzwa kuwa cha Kikabila.
Ukabila sio tunaoutaka .Tunataka Demokrasia .
Bora hata kifutwe Mana kitatuletea janga la ukabila Tanzania . Tumeshaona dalili na chuki zinazojengwa kwa wakosoaji wa Mbowe.
Mbowe ni sumu mbaya ya kujenga ukabila kwa Taifa hili. Ana agenda ya siri huyo Mbowe!?
.....mfano Sugu, Lissu, na Heche, hao wote kabila moja kwa akili za lumumba!, mjipange vizuri na propaganda zenu za kitoto, sio kukurupuka tu.
 
Kama wewe unavo mlaumu mbowe
Sijawahi mlaumu dj ktk lolote, in fact naaomba aendelee kuwaburuza yeye forever. Anajua zaidi kucheza na akili zenu zaidi ya yoyote na muda huo huo naye yuko remotely controlled.
 
Upuuzi wote huu unaandikia wageni wa nchi gani?
Sisi tupo tuna macho wewe endelea kutumika hadi hapo utakapo tupwa kama kondom. Ujinga huu kawadanganye hao wageni wako na familia yako kama unayo!

Mbowe amekukaa utafikiri alikuchukulia mke!
Kwa taarifa yako Mbowe ni mkiti wa CDM ajaye, nyie ccm wasio na mkia hangaikeni na yenu
 
Ujinga tu huna hoja,wapiga kura ambao ni wajumbe halali wamepiga kura na ndio hayo maamuzi yao.Kwani Mbowe Mara Salumu mwalimu walikuwa wapiga kura wa kanda hiyo? Heshimuni maamuzi ya wapiga kura unless utwambie kama zipo kanuni za uchaguzi zilizokiukwa kumpendelea mgombea flani na uziainishe hapa.
 
Hivi ni lini ilikua mara ya mwisho kwetu CCM kufanya uchaguzi wa kumchagua Mwenyekiti wa Chama ngazi taifa?
Kuna mwana CCM anayekumbuka karatasi ya kura ya kumchagua mwenyekiti wa Chama taifa inavyo fanana?
 
Back
Top Bottom