John Heche kujiunga CCM?

John Heche kujiunga CCM?

Siku ccm wakimkumbatia huyu john heche, Mimi nitarudisha kadi ya ccm.
Hata ukirudisha kadi unafikiri wewe una umuhimu wowote ccm,???Kwani nani alikuambia uchukue kadi??Ondoka tuu,,Heche ni Mwanasiasa mzuri tutamchukua tuu arudi nyumbani.
 
Awajifunzi tu why wasinunue wapiga kura. Maana kina heche ni wengi Sana Kanda hio
 
Unadhani kwanini baraza la mawaziri kuna chadema kadhaa? Kwanini ccm wanahangaika na kuwatamani C-19? Ulishajiuliza sababu ya mheshimiwa kulazimika kufanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum ili kupata wa kuwateua uwaziri ilhali kuna zaidi ya 300? CCM ina wenyewe.
Hujui ulicho andika hapa
 
Moja ya vijana mahiri wa Chadema wanaowindwa na chama Cha mapinduz ni John HECHE. Kuwindwa kwake ni katika harakati za kupunguza nguvu ya upinzani kanda ya ziwa na kulainisha miyoyo ya wananchi.

Je, ataweza kuvumilia safari ya siasa za upinzani akiwa ndani ya walezi wake Chadema? Kwanini CCM inaamini hawa vijana wanapaswa kusajiliwa kwao? Je, nguvu yakukuza vipaji na nguvu yakumshawishi mtu usiamini imani yake ipi nguvu kubwa?
naona heche unajipigia debe lipia tangazo jamii forums
 
Moja ya vijana mahiri wa Chadema wanaowindwa na chama Cha mapinduz ni John HECHE. Kuwindwa kwake ni katika harakati za kupunguza nguvu ya upinzani kanda ya ziwa na kulainisha miyoyo ya wananchi.

Je, ataweza kuvumilia safari ya siasa za upinzani akiwa ndani ya walezi wake Chadema? Kwanini CCM inaamini hawa vijana wanapaswa kusajiliwa kwao? Je, nguvu yakukuza vipaji na nguvu yakumshawishi mtu usiamini imani yake ipi nguvu kubwa?
Mnaifilisi Shopping Mall yenu sijui mtanunua wapi, mlidhani ni ujanja!
 
Moja ya vijana mahiri wa Chadema wanaowindwa na chama Cha mapinduz ni John HECHE. Kuwindwa kwake ni katika harakati za kupunguza nguvu ya upinzani kanda ya ziwa na kulainisha miyoyo ya wananchi.

Je, ataweza kuvumilia safari ya siasa za upinzani akiwa ndani ya walezi wake Chadema? Kwanini CCM inaamini hawa vijana wanapaswa kusajiliwa kwao? Je, nguvu yakukuza vipaji na nguvu yakumshawishi mtu usiamini imani yake ipi nguvu kubwa?
Uyo mtu sio mlaini kiasi icho mzee
 
Unadhani kwanini baraza la mawaziri kuna chadema kadhaa? Kwanini ccm wanahangaika na kuwatamani C-19? Ulishajiuliza sababu ya mheshimiwa kulazimika kufanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum ili kupata wa kuwateua uwaziri ilhali kuna zaidi ya 300? CCM ina wenyewe.
Wenyewe ndio sisi pamoja na we we[emoji23]
 
Aisee Heche akienda ccm itakuwa pigo kubwa sana CDM na upinzani kwa ujumla, maana ushawishi wa chama kanda ya ziwa itakuwa ndiyo kwishnei
 
Hana lolote huyo! Ni mwanasiasa anayetumia nguvu nyingi kuliko maarifa! CCM ina watu wengi sana wanaojua siasa za hoja .
Wangekuwepo CCM isingekua ina nunua vijana kutoka upinzani na kuwapa uongozi

Waliokuwelo woote ni vilaza na viongozi wenu wajuu wanalitambua hilo kuwa kijana anaeshabikia CCM basi hayupo sawa kichwani

Hivyo ni lazima watumie mapesa mengi kupata viongozi vijana wanaojitambua kutoka upinzani hasa CHADEMA
 
Back
Top Bottom