John Heche kujiunga CCM?

Siku ccm wakimkumbatia huyu john heche, Mimi nitarudisha kadi ya ccm.
Hata ukirudisha kadi unafikiri wewe una umuhimu wowote ccm,???Kwani nani alikuambia uchukue kadi??Ondoka tuu,,Heche ni Mwanasiasa mzuri tutamchukua tuu arudi nyumbani.
 
Awajifunzi tu why wasinunue wapiga kura. Maana kina heche ni wengi Sana Kanda hio
 
Hujui ulicho andika hapa
 
naona heche unajipigia debe lipia tangazo jamii forums
 
Mnaifilisi Shopping Mall yenu sijui mtanunua wapi, mlidhani ni ujanja!
 
Uyo mtu sio mlaini kiasi icho mzee
 
Wenyewe ndio sisi pamoja na we we[emoji23]
 
Kweli ccm ina watu wengi ila wengi Mandezik ndo maana rasi amateur mapya toka nje
 
Aisee Heche akienda ccm itakuwa pigo kubwa sana CDM na upinzani kwa ujumla, maana ushawishi wa chama kanda ya ziwa itakuwa ndiyo kwishnei
 
Hana lolote huyo! Ni mwanasiasa anayetumia nguvu nyingi kuliko maarifa! CCM ina watu wengi sana wanaojua siasa za hoja .
Wangekuwepo CCM isingekua ina nunua vijana kutoka upinzani na kuwapa uongozi

Waliokuwelo woote ni vilaza na viongozi wenu wajuu wanalitambua hilo kuwa kijana anaeshabikia CCM basi hayupo sawa kichwani

Hivyo ni lazima watumie mapesa mengi kupata viongozi vijana wanaojitambua kutoka upinzani hasa CHADEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…