Tetesi: John Heche kumrithi Freeman Mbowe Uenyekiti CHADEMA

Mbowe kwanza, Heche ataingia upepo ukitulia.
 
Nadhani kwa Freeman Mbowe kupoteza mvuto CHADEMA , bila shaka ndiyo ingekuwa furaha ya CCM...

Lakini cha ajabu tunaona kupagawa na frustration zisikokuwa za kawaida kiasi cha Mbowe kuwa wimbo wa CCM na sasa mnaanza kupanga safu ya uongozi. Wajinga nyie...!!
Wewe kweli ni CHADEMA au ni mtoto wa Mbowe?😆😆

Mbowe ni CCM mwenzetu aliyechangamka
 
Kitakachomuondoa Mbowe kwenye uenyekit ni kifo pekee
 
View attachment 3121911

Hatimaye Mwenyekiti wa wakati wote na wakudumu wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe ameamua kuachia ngazi Uenyekiti wa Taifa wa CHADEMA,

Habari toka CHADEMA zinasema Freeman Mbowe atakuwa na imani endapo tu atakiacha chama hicho chini ya Mkurya huyo mwenye misimamo isiyoyumba Mhe John Heche.

John Heche ndio kijana pekee aliyeachiwa Uenyekiti wa BAVICHA na Freema Mbowe taasisi aliyoiongoza kwa Mafanikio makubwa zaidi na kuifanya CHADEMA kupata imani toka makundi mbalimbali hasa ya Vijana waishio nje na ndani ya Tanzania.

John Heche ndio mwanasiasa pekee aliyeahidiwa mambo mengi na mazuri ikiwemo Uwaziri na aliyewahi kuwa Rais wa Tanzania awamu ya tano Hayati Dkt John John Joseph Magufuli lakini akakataa kata kata ova zote.

John Heche anatazamwa na WanaChadema walio wengi kama mtu pekee anayeweza kuhamasisha kundi kubwa la watu hasa vijana wasio na Ajira na mafukura kujiunga na CHADEMA na hatimaye 2025 CHADEMA iweze kushinda na kuongoza Serikali/Dola 2025-2030.

Soma Pia: Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?

John Heche swaiba mkubwa wa Mhe Tundu AM Lissu na mwanasiasa asiye na chembe ya Uoga wa ama kufa ama kuishi duniani anaonekana kuwa mwiba mchungu kwa Chama Cha Mapinduzi CCM kiasi Cha kutamani Freeman Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa kipindi kingine Cha miaka mitano ( 2024-2029 )

Hata hivyo vijana wanaotaka mabadiliko ndani ya CHADEMA wameendelea kumsihi Freeman Mbowe akae pembeni ili kupisha damu changa na zaidi sana kuionesha demokrasia ndani ya CHADEMA kwa Vitendo.

Hata hivyo vijana watiifu wa Mbowe kama walivyokuwa wale vijana watiifu wa Hayati Mwl Julius Nyerere waliomkataza Nyerere kung'atuka madaraka kwa kisingizio Cha Nchi kuwa changa ndivyo hivyo ilivyo kwa vijana wa Freeman Mbowe Leo wanamwambia kuwa asisubutu kuachia Chama kwani chama bado ni kichanga sana.

John Heche anatajwa kama kijana mwenye mvuto zaidi ndani ya CHADEMA kwa Sasa na ndio mtu pekee atakayeweza kumwangusha Freeman Mbowe kwenye sanduku la kupigia kura mapema mwezi ujao endapo Freeman Mbowe atasalia kuwa king'ang'anizi kwa miaka mingine mitano ili kutimiza mihula sita iyofanya jumla ya miaka 30.

CHADEMA tunawatakia kila lenye heri kuelekea uchaguzi wenu mkuu wa Chama sisi tusio na chama tunahitaji kuona Upinzani imara ili kujenga Serikali imara.

Kama ni kweli ...bado kachelewa sana kufanya hivyo chadema kimekufa kwa upumbavu wake wakuto kuwa na akili ya kiuongozi ...kitendo cha kuachia muda huu ni hasara nyingine maana kakubali 8kweli ikiwa too late...chama kimekuwa na mambo ya kipumbavu kama ccm nayo ni yakukataa ukweli...kupinga maendeleo ya taifa ...uchawa...8fisadi ...kukosa muelekeo mmoja ulio nyoka ...nk
 
View attachment 3121911

Hatimaye Mwenyekiti wa wakati wote na wakudumu wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe ameamua kuachia ngazi Uenyekiti wa Taifa wa CHADEMA,

Habari toka CHADEMA zinasema Freeman Mbowe atakuwa na imani endapo tu atakiacha chama hicho chini ya Mkurya huyo mwenye misimamo isiyoyumba Mhe John Heche.

John Heche ndio kijana pekee aliyeachiwa Uenyekiti wa BAVICHA na Freema Mbowe taasisi aliyoiongoza kwa Mafanikio makubwa zaidi na kuifanya CHADEMA kupata imani toka makundi mbalimbali hasa ya Vijana waishio nje na ndani ya Tanzania.

John Heche ndio mwanasiasa pekee aliyeahidiwa mambo mengi na mazuri ikiwemo Uwaziri na aliyewahi kuwa Rais wa Tanzania awamu ya tano Hayati Dkt John John Joseph Magufuli lakini akakataa kata kata ova zote.

John Heche anatazamwa na WanaChadema walio wengi kama mtu pekee anayeweza kuhamasisha kundi kubwa la watu hasa vijana wasio na Ajira na mafukura kujiunga na CHADEMA na hatimaye 2025 CHADEMA iweze kushinda na kuongoza Serikali/Dola 2025-2030.

Soma Pia: Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?

John Heche swaiba mkubwa wa Mhe Tundu AM Lissu na mwanasiasa asiye na chembe ya Uoga wa ama kufa ama kuishi duniani anaonekana kuwa mwiba mchungu kwa Chama Cha Mapinduzi CCM kiasi Cha kutamani Freeman Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa kipindi kingine Cha miaka mitano ( 2024-2029 )

Hata hivyo vijana wanaotaka mabadiliko ndani ya CHADEMA wameendelea kumsihi Freeman Mbowe akae pembeni ili kupisha damu changa na zaidi sana kuionesha demokrasia ndani ya CHADEMA kwa Vitendo.

Hata hivyo vijana watiifu wa Mbowe kama walivyokuwa wale vijana watiifu wa Hayati Mwl Julius Nyerere waliomkataza Nyerere kung'atuka madaraka kwa kisingizio Cha Nchi kuwa changa ndivyo hivyo ilivyo kwa vijana wa Freeman Mbowe Leo wanamwambia kuwa asisubutu kuachia Chama kwani chama bado ni kichanga sana.

John Heche anatajwa kama kijana mwenye mvuto zaidi ndani ya CHADEMA kwa Sasa na ndio mtu pekee atakayeweza kumwangusha Freeman Mbowe kwenye sanduku la kupigia kura mapema mwezi ujao endapo Freeman Mbowe atasalia kuwa king'ang'anizi kwa miaka mingine mitano ili kutimiza mihula sita iyofanya jumla ya miaka 30.

CHADEMA tunawatakia kila lenye heri kuelekea uchaguzi wenu mkuu wa Chama sisi tusio na chama tunahitaji kuona Upinzani imara ili kujenga Serikali imara.

Nani alikuambia CHADEMA ni ya Watanzania? CHADEMA ni mali ya Familia ya Mtei na mkwewe Freeman Mbowe. Nyie wengine ni wasindikizaji tu au kwa kiingereza cheerleaders Mbowe ni Mwenyekiti wa chama toka 2003 wakati wa Mkapa. Na kila aliyethubu kugombea alionja sumu kwa kidole
 
Ngoja tuone kwa Heche
 
View attachment 3122169
Hatimaye Mwenyekiti wa wakati wote na wakudumu wa Chama Cha Demokrasia CHADEMA Mhe Freeman Aikael Mbowe ameonesha nia ya kung'atuka kwenye nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa.

Habari za chini chini toka CHADEMA zinasema huenda Mhe Freeman Aikael Mbowe atakuwa na imani zaidi endapo tu atakiacha chama hicho chini ya Mkurya huyo mwenye misimamo thabkti isiyoyumba Wala kutetereka Mhe John Heche.

Mhe John Heche ambae pia ni Mbunge mstaafu wa Jimbo la Uchaguzi la Tarime Vijijini ndio kijana pekee kati ya Vijana walioachiwa nafasi ya Uenyekiti wa BAVICHA Taifa na Mhe Freema Mbowe na kwa hakika kila MCHADEMA atakubaliana na Mimi kuwa ni Heche ndio aliyoiongoza taasisi hiyo kwa Mafanikio zaidi na kuifanya BAVICHA/CHADEMA kupata imani toka kwa makundi na watu mbalimbali hasa ya Vijana waishio nje na wale wa ndani ya Tanzania.

Mhe John Heche ndio mwanasiasa pekee aliyeahidiwa mambo mengi na mazuri ikiwemo nafasi ya Uwaziri na aliyewahi kuwa Rais wa Tanzania awamu ya tano Hayati Dkt John John Joseph Magufuli lakini akakataa kata kata ofa zote hizo.

Mhe John Heche anatazamwa na WanaChadema walio wengi kama mtu pekee anayeweza kuhamasisha kundi kubwa la watu hasa vijana wasio na Ajira na mafukura kujiunga na CHADEMA na hatimaye 2025 CHADEMA iweze kushinda na kuongoza Serikali/Dola 2025-2030.

Soma Pia: Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?

Mhe John Heche swaiba mkubwa wa Mhe Tundu AM Lissu na mwanasiasa asiye na chembe ya woga wa ama kufa ama kuishi duniani anaonekana kuwa mwiba mchungu kwa Chama Cha Mapinduzi CCM kiasi Cha CCM kutamani Mhe Freeman Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa muhula mwingine wa miaka mitano ( 2024-2029 )

Hata hivyo vijana wanaotaka mabadiliko ndani ya CHADEMA wameendelea kumsihi Mhe Freeman Mbowe akae pembeni ili kupisha damu changa na zaidi sana kuionesha demokrasia wanayoihubiri nje ndani ya CHADEMA kwa Vitendo.

Hata hivyo vijana watiifu wa Bwana Mbowe kama walivyokuwa wale vijana watiifu wa Hayati Mwl Julius Nyerere waliomkataza Mwl Nyerere kung'atuka madarakani kwa kisingizio Cha Nchi kuwa changa ndivyo hivyo ilivyo kwa vijana wa Mhe Freeman Mbowe Leo wanamwambia kuwa asisubutu kuachia Chama kwani chama bado ni kichanga sana kumbe wachanga ni wao na familia zao.

Mhe John Heche anatajwa kama kijana mwenye mvuto zaidi ndani ya CHADEMA kwa Sasa na ndio mtu pekee atakayeweza kumwangusha Mhe Freeman Mbowe kwenye sanduku la kupigia kura mapema mwezi ujao endapo Mhe Freeman Mbowe atasalia kuwa king'ang'anizi kwa miaka mingine mitano ili kutimiza mihula sita iyofanya jumla ya miaka 30.

CHADEMA tunawatakia kila lenye heri kuelekea uchaguzi wenu mkuu wa Chama na Serikali sisi tusio na chama tunahitaji kuona Upinzani imara ili kujenga Serikali imara ya Tanzania.

View attachment 3121911
Mhe John Heche Mwenyekiti Mtarajiwa wa CHADEMA 2024-2029

Siko Mbowe alipoitisha maandamano na kusema SAMIA MUST GO na baadae kujikuta Yuko peke yake na Vijana wa CHADEMA wakaanza kusema MBOWE MUST GO,

Naona Mbowe akiondoka kabla ya Rais Samia
 
Kwa namna alivyoachwa aandamane peke yake hata mimi ningeachia ngazi
 
Heche atatusumbua tunamtaka Mbowe tena
 
Back
Top Bottom