Tetesi: John Heche kumrithi Freeman Mbowe Uenyekiti CHADEMA

Mbowe kwanza, Heche ataingia upepo ukitulia.
 
Wewe kweli ni CHADEMA au ni mtoto wa Mbowe?😆😆

Mbowe ni CCM mwenzetu aliyechangamka
 
Kitakachomuondoa Mbowe kwenye uenyekit ni kifo pekee
 
Kama ni kweli ...bado kachelewa sana kufanya hivyo chadema kimekufa kwa upumbavu wake wakuto kuwa na akili ya kiuongozi ...kitendo cha kuachia muda huu ni hasara nyingine maana kakubali 8kweli ikiwa too late...chama kimekuwa na mambo ya kipumbavu kama ccm nayo ni yakukataa ukweli...kupinga maendeleo ya taifa ...uchawa...8fisadi ...kukosa muelekeo mmoja ulio nyoka ...nk
 
Nani alikuambia CHADEMA ni ya Watanzania? CHADEMA ni mali ya Familia ya Mtei na mkwewe Freeman Mbowe. Nyie wengine ni wasindikizaji tu au kwa kiingereza cheerleaders Mbowe ni Mwenyekiti wa chama toka 2003 wakati wa Mkapa. Na kila aliyethubu kugombea alionja sumu kwa kidole
 
Ngoja tuone kwa Heche
 
Siko Mbowe alipoitisha maandamano na kusema SAMIA MUST GO na baadae kujikuta Yuko peke yake na Vijana wa CHADEMA wakaanza kusema MBOWE MUST GO,

Naona Mbowe akiondoka kabla ya Rais Samia
 
Kwa namna alivyoachwa aandamane peke yake hata mimi ningeachia ngazi
 
Heche atatusumbua tunamtaka Mbowe tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…