Tetesi: John Heche kumrithi Freeman Mbowe Uenyekiti CHADEMA

Heche anatosha kwa nafasi hiyo
 
Natamani iwe kweli ila sioni icho kikitokea ndani ya miaka hii.
 
🤣🤣🤣🤣 hivi nyie watu!! Mbona hamlalamiki uenyekiti wa HASHIM RUNGWE?? John MOMOSE CHEYO???

hivyo ni vichekesho na woga wa kumuogopae MBOWEE ambaye HANA BEI huwezi kumnunua
🤣🤣🤣 Eti hana bei? Nimecheka kwa sauti sana
 
Heche at least ni mwadilifu sana
 
Binafsi nimebahatika kumsikiliza Heche kwenye Moja ya mikutano ya CHADEMA, nikili kuwa anauwezo mkubwa sana wa kujenga hoja za kisiasa.
 
Kwa namna alivyoachwa aandamane peke yake hata mimi ningeachia ngazi
Hawezi kwa maana hii saccos ndio ajira yake kuu kwa maana bado wapo misukule wanaamini katika giliba zake aisee🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Inakuja inakataaa....inakuja tena inakataa. Kwa misimamo yake huaenda akafaa. Na pia itasaidia kufuta zile fununu kwamba chama chao ni cha watu wa ukanda flani hivi.
 
Inakuja inakataaa....inakuja tena inakataa. Kwa misimamo yake huaenda akafaa. Na pia itasaidia kufuta zile fununu kwamba chama chao ni cha watu wa ukanda flani hivi.
Mkuu sio raisi Mzee Mbowe akubali kuhamisha hisa toka kwa wanaukoo hadi Musoma
 
🤣🤣🤣CHADEMA itakufa soon
 
Heche ndio TURUFU ya mwisho ya kuifufua Chadema ila kama atashindwa atalazimika kuja CCM Kwa usalama wake
 
Heche ndio TURUFU ya mwisho ya kuifufua Chadema ila kama atashindwa atalazimika kuja CCM Kwa usalama wake
Ila Mbowe atakubali kuachia kijiti hivi hivi kirahisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…