Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kwani màmako kakonda?View attachment 3389129
kashindwa kunenepesha ngombe watanzania atatuweza
unamjua?Kwani màmako kakonda?
Mahakama zipi sasa?Waachane na press, wafungue kesi mahakamani kudai uchaguzi usitishwe, watumie mifumo ya kisheria iliyopo, press conference haziwezi kuwapa wanachotaka
TunaisubiriMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tanganyika, John Heche, amesema leo saa nane mchana watatuma ujumbe kwa Watanzania kupitia vyombo vya habari, akisisitiza kuwa nchi inahitaji uongozi thabiti huku akieleza wazi kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshindwa kuiongoza nchi.
John heche ni raia ,CDM ni chama/taasisi ,Anadharau mahakama iliyositisha shughuli za Chama
Anataka kwenda jela akaungane na Lisu?
Sikiliza kwanza anaenda kuongea nini. ?Waachane na press, wafungue kesi mahakamani kudai uchaguzi usitishwe, watumie mifumo ya kisheria iliyopo, press conference haziwezi kuwapa wanachotaka
Anaongea kama mwananchi. Au na hilo pia kazuiwa kufanyaAnadharau mahakama iliyositisha shughuli za Chama
Anataka kwenda jela akaungane na Lisu?
🤣 🤣 🤣 nawaona ngombe wa tone tone, watu wanachanga wao wananunua ngombeView attachment 3389129
kashindwa kunenepesha ngombe watanzania atatuweza
Bado dakika 55Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tanganyika, John Heche, amesema leo saa nane mchana watatuma ujumbe kwa Watanzania kupitia vyombo vya habari, akisisitiza kuwa nchi inahitaji uongozi thabiti huku akieleza wazi kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshindwa kuiongoza nchi.
Mahakama hizi hizi?Waachane na press, wafungue kesi mahakamani kudai uchaguzi usitishwe, watumie mifumo ya kisheria iliyopo, press conference haziwezi kuwapa wanachotaka
Mkuu umenivunja mbavuunamjua?
Halafu kesi apangiwe mheshimiwa sana Jaji Hamidu MwangaWaachane na press, wafungue kesi mahakamani kudai uchaguzi usitishwe, watumie mifumo ya kisheria iliyopo, press conference haziwezi kuwapa wanachotaka
Kwa maoni yangu wafungue kesi nyingi za Kupigania haki za chama Chao kufanya shughuli za kisiasa, pia wahamasishe wanachama moja moja kufungua kesi dhidi ya waliofungua kesi kuzuia shughuli za chama Chao.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tanganyika, John Heche, amesema leo saa nane mchana watatuma ujumbe kwa Watanzania kupitia vyombo vya habari, akisisitiza kuwa nchi inahitaji uongozi thabiti huku akieleza wazi kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshindwa kuiongoza nchi.