Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,639
- 2,384
Ana hamu ya kipigo na jelaAnadharau mahakama iliyositisha shughuli za Chama
Anataka kwenda jela akaungane na Lisu?
Ana hamu ya kipigo na jelaAnadharau mahakama iliyositisha shughuli za Chama
Anataka kwenda jela akaungane na Lisu?
Ng'ombe wa maziwa hanenepi ukimkuta mnene ujue umepigwa kimbiaView attachment 3389129
kashindwa kunenepesha ngombe watanzania atatuweza
Unataka kunenepeshwa? Leta sahani upakuliwe! ACHA USHAMBENGA!View attachment 3389129
kashindwa kunenepesha ngombe watanzania atatuweza
Bado dk 9Kwa maoni yangu wafungue kesi nyingi za Kupigania haki za chama Chao kufanya shughuli za kisiasa, pia wahamasishe wanachama moja moja kufungua kesi dhidi ya waliofungua kesi kuzuia shughuli za chama Chao.
Shughuli za chama zimezuiwa, apigwe contempt of court na polisi wazuie mkutano wakeMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tanganyika, John Heche, amesema leo saa nane mchana watatuma ujumbe kwa Watanzania kupitia vyombo vya habari, akisisitiza kuwa nchi inahitaji uongozi thabiti huku akieleza wazi kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshindwa kuiongoza nchi.
TrueMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tanganyika, John Heche, amesema leo saa nane mchana watatuma ujumbe kwa Watanzania kupitia vyombo vya habari, akisisitiza kuwa nchi inahitaji uongozi thabiti huku akieleza wazi kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshindwa kuiongoza nchi.
Waachane na press, wafungue kesi mahakamani kudai uchaguzi usitishwe, watumie mifumo ya kisheria iliyopo, press conference haziwezi kuwapa wanachotaka
Kumbuka wana case ya kuzuiwa kufanya shughuli zao na huyo Judge haji kwenye usikilizwaji wake.Waachane na press, wafungue kesi mahakamani kudai uchaguzi usitishwe, watumie mifumo ya kisheria iliyopo, press conference haziwezi kuwapa wanachotaka
HIi hii mahakama ambayo inasaidiana na Msajili wa vyama ili kujaribu kuifuta CDM.Waachane na press, wafungue kesi mahakamani kudai uchaguzi usitishwe, watumie mifumo ya kisheria iliyopo, press conference haziwezi kuwapa wanachotaka
Mimi naombea aitishe hiyo press, halafu wamshughulikie kwa kutotii mahamuzi halali ya mahakama. Na tusisikievwatu wanaolalamika humu kuwa kaonewa!Anadharau mahakama iliyositisha shughuli za Chama
Anataka kwenda jela akaungane na Lisu?
Watanzania wanataka kunenepeshwa? Au hilo ni hitaji lako binafsi?View attachment 3389129
kashindwa kunenepesha ngombe watanzania atatuweza
Huyo chizi bangi imemkolea, ni majinga yasiyojielewa, mikutano na waandishi wa habari itawasaidia nini watanzania? Wamekimbia uchaguzi, bure kabisa hayo manyumbuMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tanganyika, John Heche, amesema leo saa nane mchana watatuma ujumbe kwa Watanzania kupitia vyombo vya habari, akisisitiza kuwa nchi inahitaji uongozi thabiti huku akieleza wazi kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshindwa kuiongoza nchi.
Hakuna paka shume yeyote anaweza kusimamisha uchaguzi. Niko pale nite......Waachane na press, wafungue kesi mahakamani kudai uchaguzi usitishwe, watumie mifumo ya kisheria iliyopo, press conference haziwezi kuwapa wanachotaka
We nenda kaharishe huo uvundoWaachane na press, wafungue kesi mahakamani kudai uchaguzi usitishwe, watumie mifumo ya kisheria iliyopo, press conference haziwezi kuwapa wanachotaka
Ex- CJ, Ex-CGF, Ex- IGP, Ex- DG NEC...and the list continues.Anadharau mahakama iliyositisha shughuli za Chama
Anataka kwenda jela akaungane na Lisu?
Nenda kamsaidie mamako we bwegeKwani màmako kakonda?
Sikiliza kwanza anaenda kuongea nini. ?
CCM mna wasiwasi gani mbona mnaanza kutoa vilioAnadharau mahakama iliyositisha shughuli za Chama
Anataka kwenda jela akaungane na Lisu?