DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
Hawa Ccm inatakiwa ukifunga goli lichane neti na kipa wao afe kabisa vinginevyo refa anakua upande wao.... Kuwatoa Ccm inahitaji umafia mkubwa..
Mama yake anaweza kuwa kakonda kwa sababu ya roho mbaya zake tu!Kwani màmako kakonda?
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tanganyika, John Heche, amesema leo saa nane mchana watatuma ujumbe kwa Watanzania kupitia vyombo vya habari, akisisitiza kuwa nchi inahitaji uongozi thabiti huku akieleza wazi kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshindwa kuiongoza nchi.

Utafanyaje politics bila ya kusikika? Chance mojawapo ya opposition ni conference kwa sababu hata mitano wanazuia, labda ungesema combination ya vyote, mahakama, conference etc etc etcWaachane na press, wafungue kesi mahakamani kudai uchaguzi usitishwe, watumie mifumo ya kisheria iliyopo, press conference haziwezi kuwapa wanachotaka
Muulize yeyeunamjua?
No reforms no election.Anadharau mahakama iliyositisha shughuli za Chama
Anataka kwenda jela akaungane na Lisu?
kwani kasemaje?Nchi nzima macho na masikio nikutaka kujua Makamu mwenyekiti wa chama pendwa anaongea nini
No reform No Election
Wao (Tundu & Heche) wamepewa madaraka tarehe 21/ 01/2025. Ndani ya miezi 4 yafuatayo yametokea:-Huu ndo uhaini sasa, kusema CCM imeshindwa kuongoza nchi ili iweje? Wanataka wapewe wao kwa majaribio au wanamwambia nani achukue nchi aongoze?