Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tanganyika, John Heche, amesema leo saa nane mchana watatuma ujumbe kwa Watanzania kupitia vyombo vya habari, akisisitiza kuwa nchi inahitaji uongozi thabiti huku akieleza wazi kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshindwa kuiongoza nchi.
Hiyo shughuli kina bulaya na MREMA hawawezi...View attachment 3389129
kashindwa kunenepesha ngombe watanzania atatuweza
Kwa KOSA lipi mkuu?Police washafika eneo la tukio
Na leo anakamatwa
Kwa KOSA lipi mkuu?
Haahaa aliyekuwa kiongozi wa tume huru ya uchaguzi🤣🤣Halafu kesi apangiwe mheshimiwa sana Jaji Hamidu Mwanga
uzururajiKwa KOSA lipi mkuu?
Haahaa mbona ccm wanazurura nchi nzima hawakamatwi?🤣🤣Aah Tanzania hatujali makosa
Kunakaribia kupambazuka💪🏿✌🏿✌🏿✌🏿📌🔨❗Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tanganyika, John Heche, amesema leo saa nane mchana watatuma ujumbe kwa Watanzania kupitia vyombo vya habari, akisisitiza kuwa nchi inahitaji uongozi thabiti huku akieleza wazi kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshindwa kuiongoza nchi.
Haahaa Hilo labda kwa kutungiwa, maana makala na wasira wanazurura nchi nzima Wala hawaguswiuzururaji
Waachane na press, wafungue kesi mahakamani kudai uchaguzi usitishwe, watumie mifumo ya kisheria iliyopo, press conference haziwezi kuwapa wanachotaka
Kwa kina jaji Mwanga?Waachane na press, wafungue kesi mahakamani kudai uchaguzi usitishwe, watumie mifumo ya kisheria iliyopo, press conference haziwezi kuwapa wanachotaka
Kufanya press ni shughuli za chama ? Ata wewe kama una ushawishi kwenye jamii yako unaweza kuita press ! Unatumia makalio kufikiri ?Anadharau mahakama iliyositisha shughuli za Chama
Anataka kwenda jela akaungane na Lisu?
Tulia wewe kapuku!Anadharau mahakama iliyositisha shughuli za Chama
Anataka kwenda jela akaungane na Lisu?
Mahakama zipi mtumishWaachane na press, wafungue kesi mahakamani kudai uchaguzi usitishwe, watumie mifumo ya kisheria iliyopo, press conference haziwezi kuwapa wanachotaka
Haahaa mbona ccm wanazurura nchi nzima hawakamatwi?🤣🤣
Si yule Muuza papuchi mkongwe pale maeneo ya Kimboka aliyekulea kwa kazi ya kulanyonya vikojoleo vya wanaume..unamjua?
Nenda kamfunge ndio ajenda ya ccm.Anadharau mahakama iliyositisha shughuli za Chama
Anataka kwenda jela akaungane na Lisu?
Atakuweza kukufanyeje sheikh?View attachment 3389129
kashindwa kunenepesha ngombe watanzania atatuweza
Utazungumza akiwa wapi?Akumbuke alishapigwa marufuku.Akipewa virungu asilalamikeMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tanganyika, John Heche, amesema leo saa nane mchana watatuma ujumbe kwa Watanzania kupitia vyombo vya habari, akisisitiza kuwa nchi inahitaji uongozi thabiti huku akieleza wazi kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshindwa kuiongoza nchi.