Tunasubiri taarifa ulisema unaleta punde!Hii ni taarifa iliyotufikia hivi punde , kwamba Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema jimbo la Serengeti amepigwa sana na Polisi alipofika kwenye ofisi ya msimamizi wa uchaguzi jimboni humo
Taarifa zaidi zitawajia punde .......
Na bado mpaka uache ufisadi na wiziJiwe ametufikisha pabaya sana jamani. Huku ilikuwa ni ndoto Tanzania kufika!
CCM bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm bila uchakachuaji bila wizi wa kura ni weupe sanaIna maana CCM hata kukabiliana na binti kama Catherine kwenye uchaguzi mnahitaji msaada wa Polisi? Hii ni aibu, hii ni fedheha!!!
Ukiangalia ile video utaona Hawa watu wanamihemko ya ajabu. Eti anataka kumpiga polisi huku akimlaumu kwanini hajamkamata aliyerusha jiwe? Anasahau kuwa hilo jiwe lingeweza kumpiga hata huyo polisi.Kama leo yuko mama wa cdm hapo chato akimsukuma polisi kwa mikono, hii si sawa. Bahati nzuri polisi wa Tanzania wanayo kauli mbiu yao yenye utu ndani yake"Tii sheria bila shuruti" Kinyume chake ndio matokeo haya kama yanavyo jieleza, "Wamelazwa"
Na wafuasi wa cdm na baadhui ya Watanzania wachache wasipo mstukia Lissu wataumia. Lissu anachotaka ni kutekeleza kazi ya shetani ya kuona wengi zaidi wanapata madhila yaliyo mpata, utimie ule msemo kifo cha wengi.
Acha uzushi wako wa kutumwa na Gwajima usifikiri watu hawajui upo after money kwa ghwajimaHalina Mdee, Sugu bunge si sehemu ya wahuni ni makosa yalitokea, wako hoi. Bunju ambako ni ngome ya Halima mdee mkutano wake wa kampeni alipata watu zaidi ya mia lakini chini ya mia2, biashara imeisha.
Kupigwa kunaenda mwisho kwani mda si mrefu IGP maRPC OCD na Polisiccm wote wanaoshiriki vitendo vya hovyo kuwapiga mabomu wapinzani kuruhusu wananchi kurusha mawe kama kule chato leo watafikishwa ICC The Hague mda wowote hata pengine kabla ya uchaguzi au baada ya uchaguzi.Nabado mtapigwa sana. Hadi akili iwakae sawa
Sijui kwanini hili linashindikana mkuuUvumilivu ufike mwisho sasa,iwe jino kwa jino
Tii sheria bila shuruti. Nje ya hapo utashurutishwa kwakichapo. Watu waliongelea MIGA, nini the Hague? Hayo nimaneno yakujifariji manyumbuKupigwa kunaenda mwisho kwani mda si mrefu IGP maRPC OCD na Polisiccm wote wanaoshiriki vitendo vya hovyo kuwapiga mabomu wapinzani kuruhusu wananchi kurusha mawe kama kule chato leo watafikishwa ICC The Hague mda wowote hata pengine kabla ya uchaguzi au baada ya uchaguzi.
Ukiangalia ile video utaona Hawa watu wanamihemko ya ajabu. Eti anataka kumpiga polisi huku akimlaumu kwanini hajamkamata aliyerusha jiwe? Anasahau kuwa hilo jiwe lingeweza kumpiga hata huyo polisi.
Polisi waki react inakuwa shida ooh tunaonewa. Kwa mwendo huu wataumia wengi.
Kwani yeye Mbona hakuwakamata waliokuwa wakirusha mawe? Kwani Polisiccm wazoefu watalinda warisha mawe au watafanya nini? Ujie ICC wameleta wapelelezi wa Tanzania huo ujinga wa Polisiccm wa pemba usifanyike Tanganyika kwani mara baada ya uchaguzi kuna idadi kubwa ya Polisiccm watafikishwa ICC The Hague kujibu tuhuma zaoTunapojongelea tarehe za uchaguzi, Lissiu na msafara wake wanatakiwa wapelekewe polisi wazoefu kama wale wa wapemba, yule aliyesukumwa na mama pale ni kama vile ndio katoka depo juzi hana uzoefu kazi.
Kakojoe ulale.Chadema kama kawaida yao, wanaanzisha fujo na wakidhibitiwa wanaanza ngonjera zao.
Washaona hawatopata kura hivyo wanalianzisha mdogo mdogo
Yaani mambo yanabadilika, yaani wazee wa "kugecha" siku hizi wanapigwa na kuja kuanzisha Uzi huku?Heche ameandika ujumbe huu katika akaunti yake ya twitter:
Nimepokea taarifa kutoka Serengeti mgombea wetu mh. Catherine Ruge, Mwenyekiti wetu wa wilaya mh Francis Garatwa, na watu wengine waliokua ofisi ya Mkurugenzi kudai mabadiliko ya ratiba, wamevamiwa na polisi wamepigwa na kuchaniwa nguo. Hali ya mh Cathy sio nzuri.
Hahahaha kama inauma chomoa, ICC ndo nini? Waharifu lazima washugulikiwe kikamilifu!Kwani yeye Mbona hakuwakamata waliokuwa wakirusha mawe? Kwani Polisiccm wazoefu watalinda warisha mawe au watafanya nini? Ujie ICC wameleta wapelelezi wa Tanzania huo ujinga wa Polisiccm wa pemba usifanyike Tanganyika kwani mara baada ya uchaguzi kuna idadi kubwa ya Polisiccm watafikishwa ICC The Hague kujibu tuhuma zao
Eeeh Jino kwa jino mtanadaonii hahahahhahaha....Lissu mwenyewe keshajuaa BAVICHA WOTE NI WAOGA HKANA WA KUIGIA BARABARANI TANO TENAUvumilivu ufike mwisho sasa, iwe jino kwa jino
Kwani yeye Mbona hakuwakamata waliokuwa wakirusha mawe? Kwani Polisiccm wazoefu watalinda warisha mawe au watafanya nini? Ujie ICC wameleta wapelelezi wa Tanzania huo ujinga wa Polisiccm wa pemba usifanyike Tanganyika kwani mara baada ya uchaguzi kuna idadi kubwa ya Polisiccm watafikishwa ICC The Hague kujibu tuhuma zao