GE2025 John Heche: Mimi nimekataa kuwa mtumwa, nimekuwa mbunge na sio kibaka

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
"Mimi nimekataa kuwa mtumwa, najua madhara ya machaguo ninayoyafanya, nimekuwa mbunge mimi sio kibaka nimekuja hapa kwakuwa mimi ni mtu wa utaratibu"

"Ningetaka kupita huko (porini) msingeniona, nimekuja hapa kwa kuwa mimi ni mtu wa utaratibu ninaenda kuzika, tumeitaarifu dunia kwamba mimi ninakwenda kuzika "-John Heche, Makamu Mwenyekiti CHADEMA bara.

Labda kitaalamu hii Ingekuwa na madhara gani Heche kwenda Kenya kuzika, wajuzi wa mambo nisaidieni.
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Hakuna madhara yoyote mbona Wakenya chama tawala na wapinzani walikuja kumzika Magufuli?
 
Hakuna ila ni mfumo umepanic, yeyote asie fanana nao basi ni adui yao.
Hii sasa sio nzuri, huo msiba ni wa watu wote, tena wa nchi nyingine, ilikuwa inaathiri vipi mambo ya Tanzania
 
Basi watuue wote tusiofanana wabaki wao tu, wao si wapo milele daima hapa
Na wanaogopana pia wenyewe kwa wenyewe. Hawaachiani maji. Kwenye vikao hakuna kula wala kunywa kila mtu atakula na kunywa anapopafahamu yeye.
 
Labda kitaalamu hii Ingekuwa na madhara gani Heche kwenda Kenya kuzika, wajuzi wa mambo nisaidieni.
Ushamba tu, washamba kabisa hawa watu, sijui mshauri wa huyu anayetoa amri za kishamba kama hizi ni nani.

Niliwahi kusema humu na ninasema tena, kupambana na CHADEMA, kuwanyanyasa viongozi na wanachama wake ndio kunazidi kukikuza na kukipa umaarufu hicho chama.

Unamzuia mtu kwenda kuzika? Kama wangetaka kukimbia wangekimbia muda sana. Huyo Heche na Lissu sio akina Mbowe na Salum Mwalimu wake, hao wamejikana nafsi zao kwaajili ya kupambania wanachoamini. Sijui ni kwanini imekuwa ngumu kwa watawala kuelewa hili.
​
 
Sisi manabii kuanzia tarehe 20 Oktoba tunauona ushungi ukiingia kwenye sanduku.
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Ushamba tu, washamba kabisa hawa watu, sijui mshauri wa huyu anayetoa amri za kishamba kama hizi ni nani.

Niliwahi kusema humu na ninasema tena, kupambana na CHADEMA, kuwanyanyasa viongozi na wanachama wake ndio kunazidi kukikuza na kukipa umaarufu hicho chama.

Unamzuia mtu kwenda kuzika? Kama wangetaka kukimbia wangekimbia muda sana. Huyo Heche na Lissu sio akina Mbowe na Salum Mwalimu wake, hao wamejikana nafsi zao kwaajili ya kupambania wanachoamini. Sijui ni kwanini imekuwa ngumu kwa watawala kuelewa hili.
​
Hii kitu imeibua sintofahamu kubwa...tangu jana habari ni zilezile...wamkiinua tena chama hiko.
 
Back
Top Bottom