GE2025 John Heche: Mimi nimekataa kuwa mtumwa, nimekuwa mbunge na sio kibaka

GE2025 John Heche: Mimi nimekataa kuwa mtumwa, nimekuwa mbunge na sio kibaka

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
"Mimi nimekataa kuwa mtumwa, najua madhara ya machaguo ninayoyafanya, nimekuwa mbunge mimi sio kibaka nimekuja hapa kwakuwa mimi ni mtu wa utaratibu"

"Ningetaka kupita huko (porini) msingeniona, nimekuja hapa kwa kuwa mimi ni mtu wa utaratibu ninaenda kuzika, tumeitaarifu dunia kwamba mimi ninakwenda kuzika "-John Heche, Makamu Mwenyekiti CHADEMA bara.

Mwanaume kama Mwanaume
 
Back
Top Bottom