Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Hakuna ila ni mfumo umepanic, yeyote asie fanana nao basi ni adui yao.Labda kitaalamu hii Ingekuwa na madhara gani Heche kwenda Kenya kuzika, wajuzi wa mambo nisaidieni.
Hakuna madhara yoyote mbona Wakenya chama tawala na wapinzani walikuja kumzika Magufuli?Labda kitaalamu hii Ingekuwa na madhara gani Heche kwenda Kenya kuzika, wajuzi wa mambo nisaidieni.
Hii sasa sio nzuri, huo msiba ni wa watu wote, tena wa nchi nyingine, ilikuwa inaathiri vipi mambo ya TanzaniaHakuna ila ni mfumo umepanic, yeyote asie fanana nao basi ni adui yao.
Sasa hekaheka zote za nini wakati msiba ni watu woteHakuna madhara yoyote mbona Wakenya chama tawala na wapinzani walikuja kumzika Magufuli?
Hata mimi nashangaa.Sasa hekaheka zote za nini wakati msiba ni watu wote
Wamewapa headline za bure, wangemwacha wengi wasingejua amehudhuria mazishi.Hata mimi nashangaa.
Basi watuue wote tusiofanana wabaki wao tu, wao si wapo milele daima hapaHakuna ila ni mfumo umepanic, yeyote asie fanana nao basi ni adui yao.
Na wanaogopana pia wenyewe kwa wenyewe. Hawaachiani maji. Kwenye vikao hakuna kula wala kunywa kila mtu atakula na kunywa anapopafahamu yeye.Basi watuue wote tusiofanana wabaki wao tu, wao si wapo milele daima hapa
Labda kitaalamu hii Ingekuwa na madhara gani Heche kwenda Kenya kuzika, wajuzi wa mambo nisaidieni.
Nani ana muda wa kuua zombi?Basi watuue wote tusiofanana wabaki wao tu, wao si wapo milele daima hapa
Hii kitu imeibua sintofahamu kubwa...tangu jana habari ni zilezile...wamkiinua tena chama hiko.Ushamba tu, washamba kabisa hawa watu, sijui mshauri wa huyu anayetoa amri za kishamba kama hizi ni nani.
Niliwahi kusema humu na ninasema tena, kupambana na CHADEMA, kuwanyanyasa viongozi na wanachama wake ndio kunazidi kukikuza na kukipa umaarufu hicho chama.
Unamzuia mtu kwenda kuzika? Kama wangetaka kukimbia wangekimbia muda sana. Huyo Heche na Lissu sio akina Mbowe na Salum Mwalimu wake, hao wamejikana nafsi zao kwaajili ya kupambania wanachoamini. Sijui ni kwanini imekuwa ngumu kwa watawala kuelewa hili.