John Heche mjukuu wangu, wewe ni kijana mwelewa, mwambie Lissu arudishe Chama cha watu akaunde chake

Mjukuu wangu John Heche, nenda kamwambie Lissu arudishe chama cha watu alichoiba

Akimaliza kurudisha akaunde chake

Si sahihi kuchukua mali za watu, njia sahihi ni kutafuta zake

John Heche wewe nikijana mwerevu nenda haraka sana kashughulike hilo

Hakikisha kimerudishwa kabla ya January 2027

Lissu anapenda haki lakini aanze kwa kurudisha mali za watu

Kosa la Lissu ni wizi wa mali za watu ambazo ni CHADEMA

Wizi una madhara makubwa sana asiyejua haya ni mjinga

Sasa atachagua yeye arudishe au aache ila akiacha maji ataita mma
Vipi,Lissu airudishe na Tanganyika?
 
Han

Hana tofauti na mwizi
Hao wenye chama ndiyo waliomchagua awaongoze na supporters wengine wote ndiyo kila uchwao wanampambania kuanzia mitaani mpaka mitandaoni.
Vipi Samia aliyegoma kutoka ukumbini ili wajumbe wamchague kwa uhuru, hiyo CCM aliyoikwapua kinyemela akishirikia na mmoja wa hawara zake JK anakirudisha lini chama cha alichokikwapua.
 
Mjukuu wangu John Heche, nenda kamwambie Lissu arudishe chama cha watu alichoiba

Akimaliza kurudisha akaunde chake

Si sahihi kuchukua mali za watu, njia sahihi ni kutafuta zake

John Heche wewe nikijana mwerevu nenda haraka sana kashughulike hilo

Hakikisha kimerudishwa kabla ya January 2027

Lissu anapenda haki lakini aanze kwa kurudisha mali za watu

Kosa la Lissu ni wizi wa mali za watu ambazo ni CHADEMA

Wizi una madhara makubwa sana asiyejua haya ni mjinga

Sasa atachagua yeye arudishe au aache ila akiacha maji ataita mma
Mental Diarrhea......
 
Back
Top Bottom