Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wahalifu hawawezi kuwa na peace of mind!Wana hofu wasiyoijua inatoka wapi wala inatokana na nini
Labda wanataka kuhakikisha usalama wa viongozi wa ChademaKaimu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akiwa Mbarali, Mbeya Juni 22, 2026 amesema
"Tuko kwenye ziara. Leo ni siku ya tano. Na tangu nimeanza mikutano ya hadhara kule Machingwea, baadaye nikaenda Masasi, siku nyingine siku iliyofuata tukaenda Songea, na jana tulikuwa Makambako na Njombe..."
"...Kumekuwepo na utaratibu wa msafara wetu kufuatiliwa na vyombo vya dola. Watu wetu wako makini. Sasa mimi nataka nitumie nafasi hii kuwaambia: sisi sio wahalifu, sisi ni watanzania wema. Ni watu tunaopenda nchi hii."
"Vyombo vya dola fanyeni kazi na wajibu mliopewa kwa mujibu wa katiba, sio kutishia CHADEMA. Mimi John Heche, uoga niliacha tangu nilipozaliwa siku ile ile! Kwa hiyo hakuna mtu wa kunitisha mimi. Tunaelewana vizuri?"
"Kwa hiyo mkome! Mkome kutufuatilia fuatilia na wale vijana mnaotumwa tumwa. Hii nchi watu wana machungu makubwa sana. Watu wameuawa, watu wananyang'anywa mali zao, utajiri wa nchi yetu unaibiwa. Acheni kabisa! Kujaribu kupiga nchi hii kiberiti, kuna siku mtasikitika. Mtawasha moto ambao..."
Ni kweliLabda wanataka kuhakikisha usalama wa viongozi wa Chadema
50/50Ni kweli
Nilitaka kusema hivyo...
Sio wanafuatiliwa, wanapewa ulinzi...
Kwa wema upi wa ccm watekaji hao?Labda wanataka kuhakikisha usalama wa viongozi wa Chadema
Kwanini CCM ndio wanaosemwa wanawafuatilia Chadema chama cha ukombozi?Kwa wema upi wa ccm watekaji hao?
DuuhKaimu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akiwa Mbarali, Mbeya Juni 22, 2026 amesema
"Tuko kwenye ziara. Leo ni siku ya tano. Na tangu nimeanza mikutano ya hadhara kule Machingwea, baadaye nikaenda Masasi, siku nyingine siku iliyofuata tukaenda Songea, na jana tulikuwa Makambako na Njombe..."
"...Kumekuwepo na utaratibu wa msafara wetu kufuatiliwa na vyombo vya dola. Watu wetu wako makini. Sasa mimi nataka nitumie nafasi hii kuwaambia: sisi sio wahalifu, sisi ni watanzania wema. Ni watu tunaopenda nchi hii."
"Vyombo vya dola fanyeni kazi na wajibu mliopewa kwa mujibu wa katiba, sio kutishia CHADEMA. Mimi John Heche, uoga niliacha tangu nilipozaliwa siku ile ile! Kwa hiyo hakuna mtu wa kunitisha mimi. Tunaelewana vizuri?"
"Kwa hiyo mkome! Mkome kutufuatilia fuatilia na wale vijana mnaotumwa tumwa. Hii nchi watu wana machungu makubwa sana. Watu wameuawa, watu wananyang'anywa mali zao, utajiri wa nchi yetu unaibiwa. Acheni kabisa! Kujaribu kupiga nchi hii kiberiti, kuna siku mtasikitika. Mtawasha moto ambao..."
Lissu alitoa taarifa kama hii baadae akapigwa risasi 32 polisi ya Tanzania haiaminiki.50/50
Polsi wetu hawaaminiki sana.