Mwan mpambanaji
JF-Expert Member
- Apr 3, 2008
- 482
- 131
Wakuu
Habari ndio hiyo Heche amechaguliwa kuwa Mwenyekiti Taifa wa Bavicha baada ya kupata 53% ya kura zote,akiwaacha kwa mbali wagombea wengine 5,,uchaguzi umeisha alfajiri hii
Hongera sana Heche nakujua wewe ni jasiri huogopi vitisho vya magamba, magamba walifanya juu chini ili usiwe mwenyekiti wa Bavicha lakini Mungu ni mkuu hongera sana wazee wa Chadema, wajumbe na viongozi wote wa Chadema hakika mmetupa mtu atakayekuwa msaada na nguzo kuu ya Chadema.Wakuu
Habari ndio hiyo Heche amechaguliwa kuwa Mwenyekiti Taifa wa Bavicha baada ya kupata 53% ya kura zote,akiwaacha kwa mbali wagombea wengine 5,,uchaguzi umeisha alfajiri hii
Tunakushukuru Mwana Mapambano kwa kuktujuza hilo sisi kama wanachama na wapenzi wa CHADEMA tunamuahidi ushirikiano yeye apige kazi tu sisi tuko pamoja naye siku zote. Hongera sana Hechee!!!Wakuu
Habari ndio hiyo Heche amechaguliwa kuwa Mwenyekiti Taifa wa Bavicha baada ya kupata 53% ya kura zote,akiwaacha kwa mbali wagombea wengine 5,,uchaguzi umeisha alfajiri hii
Duh,ameshinda jamaa aisee!
Haya bana,ngoja tu tumpe ushirikiano kwa manufaa ya chama!
Tarime haitaenda chadema tena,kama heche kashinda
He will always bring conflict na ccm wata nufaika na minyukano ya chadema kule
magamba walifanya juu chini ili usiwe mwenyekiti wa Bavicha lakini Mungu ni mkuu hongera sana wazee wa Chadema, wajumbe na viongozi wote wa Chadema hakika mmetupa mtu atakayekuwa msaada na nguzo kuu ya Chadema.
Duh, inamaana ndo anawachaguliaga wanatarime mbunge?
Hongera sana Heche nakujua wewe ni jasiri huogopi vitisho vya magamba, magamba walifanya juu chini ili usiwe mwenyekiti wa Bavicha lakini Mungu ni mkuu hongera sana wazee wa Chadema, wajumbe na viongozi wote wa Chadema hakika mmetupa mtu atakayekuwa msaada na nguzo kuu ya Chadema.
Wazee lazima wapongezwe kwa kusimamia uchaguzi vizuri bila kuharibika hilo la Heche kuchangia kulipoteza jimbo waachie wanachadema wenyewe ndio wamemuona anafaa wamemchagua hayo mengine ni maneno ya wafa maji tumeyazoea.Mbona Heche huyohuyo ndio analalamikiwa na wana CHADEMA kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kulipoteza jimbo la Tarime kwa CCM,na wengine wanadiriki kusema kwamba kuchaguliwa kwake kutapelekea jimbo la Tarime liendelee kushikiliwa na CCM mwaka 2015?.....
Wape hongera wajumbe wa BAVICHA walioshiriki na kufanya uchaguzi badala ya hao wazee wa CHADEMA na Viongozi wa CHADEMA,kuwapa hongera hao wazee na viongozi kutawafanya baadhi ya watu wahisi kwamba John Heche kachaguliwa na wazee wa CHADEMA na viongozi wa CHADEMA kitu ambacho si kweli...
Mwisho naomba kumpongeza sana John Heche kwa kuchaguliwa,cha msingi apewe tu ushirikiano,ni kiongozi mzuri sana huyu.