John Heche mwenyekiti mpya BAVICHA taifa

John Heche mwenyekiti mpya BAVICHA taifa

nampa probationa period ya miezi 6....cv iko njema
 
Hongera Dogo Heche
Sasa umepewa jukwaa la kuleta maendeleo ya watanzania wote na sio
jukwaa la kuleta ubazazi na ubinafsi na kutenganisha watu kwa ubaguzi.
Sote tunakuamini chaPA kazi mwanangu
Tuko PAMOJA.
 
my classmate!Musoma alliance!ni mpiganaji sana since tulipokuwa shule!big up!ila alikuwa anajiita Wegesa Charles
 
CV inatia moyo.
Ni matumanini yangu utaweza kuwa muwazi, kutimiza ndoto yako ulioielezea hapo kwenye CV.
Nimatumani yangu katika hilo, vijana wataona, na hautakuwa kikwazo kwa wengine wenye lengo kama lako,
ni matumanini yangu kuwa utakuwa kiunganishi, na sio sababu ya migogoro mipya ndani ya safari ya kwenda Tanzania yetu tuipendayo
ni matumaini yangu kuwa utaleta heshima kwa vijana wenzako wanaotaka ukombozi
ni matumani yangu hautakuwa chanzo cha majungu au mikwaruzo

nakutakia uongozi na utekelezaji mwema wa majukumu yako mazito

Mie sikupi hongera, ila nakutakia heri, anza kazi
 
Hongera sana,
Natuko pamoja.Kumbuka mafisadi wapo kila kona uwe imara na umuombe mungu akupe hekima kama za suleimani
 
Hongera Heche, ila hakikisha chama chako kinajiaandaa vyema kabla ya 2015. Mfano hai unao wananchi wa Tarime walikupa kura chache sasa ni wakati wa kujiuliza ni kwanini sio tu kwako ila kwa wagombea wengine kama wewe. Na pia tunataka kujua Itikadi ya Chama chenu haieleweki? naomba utuelimishe.
 
Heche usiwaamngushe watz!
Maana hatuailivyosasanchiinawategemea mno chadema kama ndiyo mkombozi wao, so kwa kila ufanyacho , wakumbuke watzna matarajio yaokwa Chedema.........Utafuatwafuatwa sana na mafisadi pamoja na mawakala wao kama vile FBI ya tanzania n.k ili ukihujumu chama.
 
Hongera sana HECHE ni muda wakufanya kazi sasa!
 
Chadema si chama cha wachaga sasa huyu kachaguliwaje??msinielewe vibaya ila najaribu kujiuliza wazeee wa magamba na propaganda yao ya ukabila.kweli sasa ivi wamebanwa kila kona kudadadadeeekiiiiiii!!!
 
Hongera kamanda Heche. Sasa mkoba unao, usije ukaugawa huo mkoba kwa kukigawa chama.
 
Hongera sana Heche kwa kuwa Mwenyekiti wa Vijana
CV imetulia
 
kumbe ndo hivyo basi akomae kutupigania sisi wanyonge...
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Afrika..
 
kazi kwako sasa rungu la uwakilishi unalo na pia ww ndo dereva wetu wa gari moshi la mabadiliko
 
Back
Top Bottom