CV inatia moyo.
Ni matumanini yangu utaweza kuwa muwazi, kutimiza ndoto yako ulioielezea hapo kwenye CV.
Nimatumani yangu katika hilo, vijana wataona, na hautakuwa kikwazo kwa wengine wenye lengo kama lako,
ni matumanini yangu kuwa utakuwa kiunganishi, na sio sababu ya migogoro mipya ndani ya safari ya kwenda Tanzania yetu tuipendayo
ni matumaini yangu kuwa utaleta heshima kwa vijana wenzako wanaotaka ukombozi
ni matumani yangu hautakuwa chanzo cha majungu au mikwaruzo
nakutakia uongozi na utekelezaji mwema wa majukumu yako mazito
Mie sikupi hongera, ila nakutakia heri, anza kazi