John Heche ndo anafaa kuwa mwenyekiti CHADEMA

John Heche ndo anafaa kuwa mwenyekiti CHADEMA

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Merry Christmas 🎄

Lissu big no. Ana mihemko.hataweza kudeal na mambo makubwa.itakuwa vurugu

Mbowe nae big noo.miaka zaidi ya 20 jamani apumzike.

John Heche.kwanza handsome, bonge la genius, ana point za maana

All in all mama Samia forever
 
Mimi.na sasa wapi na wapi jamani kama sio kujidhalilisha?
 
Ni handsome ndio
Heche yupo smart ni kweli, ila vigezo vyenu huwa ni vyepesi sana, ninyi na wazee ndo huwa mnapitisha hata watu incompetent kirahisi.

Hata mkwere alikuwa akipendwa sana na wanawake na kura alikuwa akizipata nyingi tu kwa sababu eti ni handsome!
 
Back
Top Bottom