Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Handsome? Kwani kuna kuuza sura chadema ili uwe kiongozi? We dada umewahi kuwaona marais wa nigeria lakini? Haya kama anafaa akachukue fomu
Ni handsome ndioEti handsome!
Wanawake bhana!
ukisema handsome tunaona unamtamani kimapenziNi handsome ndio
Heche yupo smart ni kweli, ila vigezo vyenu huwa ni vyepesi sana, ninyi na wazee ndo huwa mnapitisha hata watu incompetent kirahisi.Ni handsome ndio