Wazalendo wako wengi nchi hii,Uzalendo sio kuongea kwa ukali majukwaaniNimekuwa nikimfuatilia sana John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Ni wazi uzalendo wa John Heche kwa hii nchi ni zaidi ya Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traoré.
Kwa Maoni yangu John Heche ndio anafaa kuwa Raisi wa hii nchi.
Namtabiria Makubwa sana John Heche
Comments zote sijasoma aliyepinga hoja kwa kutoa mfano wa ubaya wake. Kauli za majukwaani
Sijasoma comment iliyoeleza udhaifu au ubaya wake. Hivyo anafaa. Umahiri wa jukwaani ndiyo kipimo angalau
Nimekuwa nikimfuatilia sana John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Ni wazi uzalendo wa John Heche kwa hii nchi ni zaidi ya Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traoré.
Kwa Maoni yangu John Heche ndio anafaa kuwa Raisi wa hii nchi.
Namtabiria Makubwa sana John Heche