PostGE2025 John Heche: Nimetoka Ukonga kumuona Mwenyekiti Tundu Lissu, yuko imara na anawasalimia wote

PostGE2025 John Heche: Nimetoka Ukonga kumuona Mwenyekiti Tundu Lissu, yuko imara na anawasalimia wote

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Nimetoka Ukonga kumuona Mwenyekiti, Yuko imara na anawasalimia wote.

Anatoa pole kwa Watanzania wote waliopoteza maisha, familia ndugu na marafiki.

Anatambua watu waliopoteza viungo na kubaki na ulemavu.

Ametoa pole kwa wote waliopoteza mali pia.

Damu ya wenzetu haijamwagika bure na hakuna atakaefunika jambo hili bila uwajibikaji.

Msimamo wa Mwenyekiti uko thabiti, Yuko imara na mwenye afya njema.
 
Mwamba kbs aisee ninashangazwa na maccm kutaka kuwapangia chadema viongoz wao hakika mbowe alikuwa snitch mwanaccm pure kbs.
 
Kwa hicho kitambi,ni ishara hajayumba kweli.

Akina Ruge na Singasinga muda huu walikuwa vimbaumbau na story za maputo tumboni na betri kwenye moyo!
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom