John Heche: Rais Samia Alitoa Maelekezo kwa Vyombo vya Dola Badala ya Kuwahutubia Wananchi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876

Updates..
John Heche amedai kuwa hotuba ya Rais Samia aliyoitoa Ijumaa iliyopita Juni 27, 2025 ilielekea zaidi katika kutoa maelekezo kwa vyombo vya Dola kuliko kuzungumza na Wananchi.

Vijana Watanzania Serikali hii aiwezi kuwatoa kwenye matatizo, tuungane mkono ili tupambanie maisha yetu, kilimo kimefeli na kilimo ndio sehemu pekee inaweza kuwapa nyie ajira kwa uhakika.

Hakuna utaratibu wowote wa kufungua viwanda, migondi yetu inakabidhiwa kwa wageni haswa Wachina, ukienda Ostabei wachania wanachukua maeneo makubwa ya nchi yetu na wanajenga majumba na Watanzania wanapoteza nafasi zao za ajira alisema John Heche Makamu mwenyekiti CHADEMA Taifa.

​
John Heche: Kilimo kimefeli na migodi inakabidhiwa kwa Wageni hasa Wachina
 
Kama Aishivyo Muumba!

Viongozi wa ccm, maliza yao itakuwa mbaya sana!
 
Heche na chadema imefeli sana.CCM ukiwasusia ndiyo kwanza wanafurahi.Kete zenu hamkuzipanga vizuri.Jifunzeni siasa za kukinukisha watanzania hawazitaki ndiomaana hawaandamani physically.Wanaandamana kwenye key bords tu

Back
Top Bottom