Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Uongo kwa nini walimchukua Lowasa na Sumaye nk kutoka CCM 2015“Kuna watu wengi jana na leo wamenipigia kuhusu yanayoendelea kwenye teuzi za CCM na wengi wanasema kutokana na vurugu, kuumizana, migogoro na chuki ambazo ziko ndani ya CCM kwamba hii ni fursa kwetu kupata wabunge wengi kama CHADEMA,” amesema John Heche Makamu mwenyekiti Chadema.
Hata hivyo, Heche amesisitiza kuwa chama chake hakina mpango wa kufaidika na migawanyiko ya CCM.
“Sisi hatutaki kushinda uchaguzi kwa sababu CCM wamegombana. Hatutaki kuwa na wabunge bungeni kwa sababu wabunge wa CCM wameumizana au kwa chuki zao wakakimbilia kwetu. Tunataka kushinda uchaguzi kwa haki,” ameongeza.
Heche pia ameeleza kuwa CCM haishindi kwa sera bora wala wagombea imara, bali kwa msaada wa mifumo mibovu ya uchaguzi inayolindwa na dola.
Chama kilikua chini ya dalali mbowe,Sasa ivi vimeingia vyuma kila siku wanapela shuruba kama watoto wa kambo.Uongo kwa nini walimchukua Lowasa nq Sumaye nk kutoka CCM 2015
Mnafiki mkubwa Heche na ndio walimuwezessha kuingia bungeni
Morgan Tsvangirai wa Zimbabwe alivimba mpaka Europe na US wakambeba mgongoni lakini wapi.Kwa hyo uchaguzi utafanyika ila chadema hawatoshiriki wanaisubiri reform.
Mpaka sasa wa kumtoa ccm naona bado hajazaliwaMorgan Tsvangirai wa Zimbabwe alivimba mpaka Europe na US wakambeba mgongoni lakini wapi.
Siasa za Africa ni ngumu.
Acha kutoa mifano isiyoendana kwani Chadema ya mbowe Dalali wa chauma ubwabwa ni tofauti na Chadema ya Lisu na Heche ambao sasa ni wapinzani wa kweli tofauti na mbowe ambaye ni mlanguzi Dalali wa Siasa, mwiziUongo kwa nini walimchukua Lowasa nq Sumaye nk kutoka CCM 2015
Mnafiki mkubwa Heche na ndio walimuwezessha kuingia bungeni
Ilo swali muulize MboweUongo kwa nini walimchukua Lowasa nq Sumaye nk kutoka CCM 2015
Mnafiki mkubwa Heche na ndio walimuwezessha kuingia bungeni
Sisi hatutaki kushinda uchaguzi kwa sababu CCM wamegombana. Hatutaki kuwa na wabunge bungeni kwa sababu wabunge wa CCM wameumizana au kwa chuki zao wakakimbilia kwetu. Tunataka kushinda uchaguzi kwa haki,” ameongeza.✌🏿✌🏿✌🏿“Kuna watu wengi jana na leo wamenipigia kuhusu yanayoendelea kwenye teuzi za CCM na wengi wanasema kutokana na vurugu, kuumizana, migogoro na chuki ambazo ziko ndani ya CCM kwamba hii ni fursa kwetu kupata wabunge wengi kama CHADEMA,” amesema John Heche Makamu mwenyekiti Chadema.
Hata hivyo, Heche amesisitiza kuwa chama chake hakina mpango wa kufaidika na migawanyiko ya CCM.
“Sisi hatutaki kushinda uchaguzi kwa sababu CCM wamegombana. Hatutaki kuwa na wabunge bungeni kwa sababu wabunge wa CCM wameumizana au kwa chuki zao wakakimbilia kwetu. Tunataka kushinda uchaguzi kwa haki,” ameongeza.
Heche pia ameeleza kuwa CCM haishindi kwa sera bora wala wagombea imara, bali kwa msaada wa mifumo mibovu ya uchaguzi inayolindwa na dola.
Hao ni wapinzani wa kweli tofauti na mbowe ambae ni mwizi mlanguzi Dalali wa Siasa anayeishi chadema kinyemela na kushinda chauma ubwabwa akiwauzia wasaliti toka chadema kwa njia haramu za kishetaniHii combination ya Heche na Lissu Watanzania wenye akili na ufahamu wa kutosha wataendelea kuwaunga mkono.
ibilisi wa ccm sasa wametambua kuwa mchawi Haki wanae humo humo kwao wanapochinjana sasa,Sisi hatutaki kushinda uchaguzi kwa sababu CCM wamegombana. Hatutaki kuwa na wabunge bungeni kwa sababu wabunge wa CCM wameumizana au kwa chuki zao wakakimbilia kwetu. Tunataka kushinda uchaguzi kwa haki,” ameongeza.✌🏿✌🏿✌🏿
Mbowe kawa tajiri mkubwa kwa biashara haramu ya kuuza Binadamu G55 na COVID 19 kwenda ccm akishirikiana na Amos makala ambaye wamemwengua sasa baada ya kula pesa nyingi kwa kugawana na mbowe kimya kimya na kupoteza lengo la kuibomoa chadema kuipaisha chauma ubwabwa chama mchepuko wa ccmAiseeeeeee